Peek-a-booπSababu zako zote unazoandika hapa hazina maana.
Mtu akijua ana kosa amefanya kwa mwingine hawezi kukubali kuambiwa njoo sehemu fulani unitengenezee simu, lazima angechukua tahadhari ya kujilinda.
Wewe na kichwa chako kinachowaza mapenzi ndio unaamini mwenye kosa anaweza kujipeleka kama kuku sehemu aliyoitwa huku akijua anawindwa.
Unaleta habari za kufarijiwa hapa hatupo kitandani, unawaza sana mapenzi.
Watu hawataki kusikia hii! Wanataka useme ni CCMKuna namna kacheza rough sehemu.
Serikali inazingua lakini sisi nae tujilinde sana tusiingie kwenye misala inayoepukika saiv watu hawana dini utapikwa mzima mzima huku unajiona.Watu hawataki kusikia hii! Wanataka useme ni CCM
Nimeshajua hitaji lako nitakufata PM.Peek-a-booπ
Hv kwani ukiwa mfuasi wa chadema lazima uwe taahira? Kuna polisi wa kumlinda kila raia? Wamedhulumiana huko na unavyowajua wachaga wacha apambane na hali yake. Uwe raia mwema uepuke hizo dhahama. Unakuta anatembea na mke wa mtu, kamdhulumu mtu mabwege mnakimbilia kulaumu serikali ni kuifanyia siasa za majitaka hasa nyumbu wa chademaHii nchi kwa sasa ni kama vile haina vyombo vya ulinzi! Na kama vipo, basi vipo kwa manufaa ya wachache.
Lioneni hili pumbavu, ni nchi gani hakuna hayo mambo? Kuna askari wa kulinda kila raia? Tumia akili badala ya makalioHaya matukio siku hizi yanafanywa kwa lengo la wahalifu kujipatia pesa kwa njia zisizo halali.
Taifa letu siku hizi ni kama halina serikali wala polisi, ndio maana makundi ya wahalifu wanatumia silaha kuteka watu ili kuwatoa pesa, usipotoa wanakupoteza.
Mwanzo ilikuwa michezo ya kisiasa, lakini kwa sasa mchezo umehamia upande wa uchumi kwa watekaji, wanataka kujitajirisha kwa njia zisizo halali huku wakilindwa na dola.
Dola inawalinda kwasababu miongoni mwa hao wahalifu, wapo maofisa wa polisi wa vyeo vya juu wanaotoa ushirikiano kwa wahuni hasa kwa kuwapa silaha.
Naomba kuelimishwa.Lioneni hili pumbavu, ni nchi gani hakuna hayo mambo? Kuna askari wa kulinda kila raia? Tumia akili badala ya makalio
Muache huyo zezeta.Naomba kuelimishwa.
Video ya tukio la wazi kama hilo, kwa Nchi zingine, askari na vyombo vya dola, wangekaa kimya au wangetekeleza majukumu yao ????
Umepaniki! Kunywa maji mengi upate unafuu. Mbona mkibanwa baadaye mnajitokeza hadharani na kukiri kumshikilia mtu? Mara ngapi mmefanya huu uhuni? Nyinyi ndiyo watekaji wakuu. Hata mkatae haisaidii kitu.Hv kwani ukiwa mfuasi wa chadema lazima uwe taahira? Kuna polisi wa kumlinda kila raia? Wamedhulumiana huko na unavyowajua wachaga wacha apambane na hali yake. Uwe raia mwema uepuke hizo dhahama. Unakuta anatembea na mke wa mtu, kamdhulumu mtu mabwege mnakimbilia kulaumu serikali ni kuifanyia siasa za majitaka hasa nyumbu wa chadema
Inasikitisha sanaHii nchi kwa sasa ni kama vile haina vyombo vya ulinzi! Na kama vipo, basi vipo kwa manufaa ya wachache.
Umekuja na judgement kuwa ni mambo ya mapenzi, but nopeWengi hupewa adhabu ya unyanyasaji wa kingono sababu chanzo kikuu cha utapeli wa mwanamke kwa mwanaume ni mapenzi.
Shetani hana rafiki uwe na akiba ya manenoVijana nao wapunguze ujanjaujanja, utapeli, kutembea na wake/waume za watu.
Duh kumbe ndio imefikia huku sasa si nchi yetu itageuka kama MexicoHaya matukio siku hizi yanafanywa kwa lengo la wahalifu kujipatia pesa kwa njia zisizo halali.
Taifa letu siku hizi ni kama halina serikali wala polisi, ndio maana makundi ya wahalifu wanatumia silaha kuteka watu ili kuwatoa pesa, usipotoa wanakupoteza.
Mwanzo ilikuwa michezo ya kisiasa, lakini kwa sasa mchezo umehamia upande wa uchumi kwa watekaji, wanataka kujitajirisha kwa njia zisizo halali huku wakilindwa na dola.
Dola inawalinda kwasababu miongoni mwa hao wahalifu, wapo maofisa wa polisi wa vyeo vya juu wanaotoa ushirikiano kwa wahuni hasa kwa kuwapa silaha.
Muda sana tulisema humuSasa umerudi kwenye point yangu kua Sio kila utekaji ni serikali hapo umeonyesha alitekwa na vibaka/majambazi.
Dizonga na nyie mnasakwaDaah uzuri wa SA ndio napoipendea hapo ndugu wanatumia hiyo video kuua wote hao hawaendi polisi waliobaki ndio wao watakimbilia polisi sema bongo tunataka watekaji watafutwe kwa minara ya simu..
Ni hatari sanaMuda sana tulisema humu
Huu utekaji tekaji,kuna watu nao watatokea watakuwa wanaupitia kuutumia
Mdhulumiana,mnadaiana
Nk...
Ndiyo hayo mengine hutokea
Ova