Video ya "Gidi'' ya Diamond Platnumz yakosolewa vikali mtandaoni kwa kutumia bendera inayohusishwa na ubaguzi

Jinsi huyo jamaa alivyo mshamba, sidhani hata kama alikuwa akijua ni nini maana yake...

Kwanza kitendo tu cha kuvaa kama cowboy kwa mtu anayetoka Tandale, ni ushamba mwingine...
 
Jinsi huyo jamaa alivyo mshamba, sidhani hata kama alikuwa akijua ni nini maana yake...

Kwanza kitendo tu cha kuvaa kama cowboy kwa mtu anayetoka Tandale, ni ushamba mwingine...
Unaemaita mshamba ila kakuzidi hela
 
shida sio elimu, fikiria nenda na hiyo bendera chuo chochote cha tanzania alafu waulize wanachuo maana ya hiyo bendera kama watakuambia.

Utahangaika vipi kufuatilia historia isiyokuhusu au ndio kubebesha wanachuo misalaba ya bwana yesu kristu bila sababu

Yeye diamond ndio atakuwa accountable kutokana na upumbavu wake wa kufanya mambo bila ya kuwa na uelewa wakutosha.

Kama walivyosema wayahudi mbele ya bwana pontio pilato asulubiww asulubiwe[emoji28][emoji28]
 
Unaemaita mshamba ila kakuzidi hela
Hela sio kila kitu! Umuhimu ni utu na kuelewa madhara ya matendo yako kwa wengine. Hela huweza kuisha muda wowote.

Asipoomba msamaha na kushusha hiyo video asahau soko la wamarekani weusi Marekani, na hata nchi nyingine za nje zinazoelewa maana ya hiyo bendera na madhila yake.
 
Tatizo huyu dogo ni bonge la mshamba na mjinga flani hivi, apo usikute hata alikuwa anatafuta 'kiki' kupitia hiyo bendera……..
 
Elimu ingekuwa ndio kila kitu mbona hela kakuzidi Sana
 
Hakujua! Alidhani kila kitu cha kimarekani ni style. Inawezekana aliwahi kuona wimbo wa Kid Rock akaona naye aige vionjo vya ki-cowboy bila kujua kuwa huyo ni mbaguzi.
Inabidi asome na kuelewa culture za watu

Ova
 
Wanaiita confederation flag, ni bendera inayotumiwa na wazungu wabaguzi WA rangi kama king Klux Klan.
Sasa mtoto WA tandale kaponzwa na producer maana Hana elimu
Haoo

Ova

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…