Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaemaita mshamba ila kakuzidi helaJinsi huyo jamaa alivyo mshamba, sidhani hata kama alikuwa akijua ni nini maana yake...
Kwanza kitendo tu cha kuvaa kama cowboy kwa mtu anayetoka Tandale, ni ushamba mwingine...
Unaemaita mshamba ila kakuzidi hela
Shule shule mtu wanguKwani hiyo flag ina shida gani???
Wanaiita confederation flag, ni bendera inayotumiwa na wazungu wabaguzi WA rangi kama king Klux Klan.
Sasa mtoto WA tandale kaponzwa na producer maana Hana elimu
Hayo mambo mhusika sidhani hata anayafahamu kuna uwezekano mkubwa akajua kuwa ni urembo tu.Ametumia confederate flag???!!!!
shida sio elimu, fikiria nenda na hiyo bendera chuo chochote cha tanzania alafu waulize wanachuo maana ya hiyo bendera kama watakuambia.
Ametumia confederate flag???!!!!
Hela sio kila kitu! Umuhimu ni utu na kuelewa madhara ya matendo yako kwa wengine. Hela huweza kuisha muda wowote.Unaemaita mshamba ila kakuzidi hela
"Nionyeshe alichokupa mama" hyo huwa haikosekanagi[emoji28]Humo hajataja rungu la kipepe?
Elimu ingekuwa ndio kila kitu mbona hela kakuzidi SanaHela sio kila kitu! Umuhimu ni utu na kuelewa madhara ya matendo yako kwa wengine. Hela huweza kuisha muda wowote.
Asipoomba msamaha na kushusha hiyo video asahau soko la wamarekani weusi Marekani, na hata nchi nyingine za nje zinazoelewa maana ya hiyo bendera na madhila yake.
Una wivutatizo huyu dogo ni bonge la mshamba na mjinga flani hivi, apo usikute hata alikuwa anatafuta 'kiki' kupitia hiyo bendera……..
Hiyo bendera,ni ya kikundi ambacho wanachukia watu weusi ,sawa na wale kkkKwani hiyo flag ina shida gani???
Inabidi asome na kuelewa culture za watuHakujua! Alidhani kila kitu cha kimarekani ni style. Inawezekana aliwahi kuona wimbo wa Kid Rock akaona naye aige vionjo vya ki-cowboy bila kujua kuwa huyo ni mbaguzi.
HaooWanaiita confederation flag, ni bendera inayotumiwa na wazungu wabaguzi WA rangi kama king Klux Klan.
Sasa mtoto WA tandale kaponzwa na producer maana Hana elimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diamond ni kijana bright sana, mpambanaji, mwenye maono lkn lazima niseme ukweli kuwa bado ni 'mshamba sana'...........ye alivyoona bendera tu yenye asili ya marekani akaone, 'enheee, ngoja niwaonyeshe kina mjomba mchumali ninavyokufahamu u.s.a!'
Ana mambo mengi tu yanayoashiria uswahili fulani,......kulipanuapanua domo lake lile kila mwanzoni au mwishoni mwa nyimbo zake. Kupanua domo na kuonyesha meno ya dhahabu/almasi (za kina lil Wayne kitaaambo huko) n.k