Kiturilo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2021
- 708
- 2,859
Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya CCM na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake.
Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa onyo kwa wazanzibar ikiwa watamchagua Dk Mwinyi kuwa Rais wao hiii wataiona Zanzibar itakavyopaa kwa maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi na ndicho kinachotokea sasa hivi Zanzibar.
Ama kweli Magufuli alikuwa ni Rais mwenye maono na kuweza kuona mbali sana ndiyo maana hata igizo la corona aliliona kabla ya wengi hawajaona.