ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Wanaume hulia kwa sauti kubwaTangu lini mwanaume akalia kwa mambo ya kipuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume hulia kwa sauti kubwaTangu lini mwanaume akalia kwa mambo ya kipuuzi.
wewe ndio dumbwasha unadhani usipompenda wewe na wengine hawampendi au hayo maneno yako yatabadilisha kitu???????Hatuwezi kupata Dubwasha jingine la HOVYO kama Magufuli.
Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya CCM na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake.
Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa onyo kwa wazanzibar ikiwa watamchagua Dk Mwinyi kuwa Rais wao hiii wataiona Zanzibar itakavyopaa kwa maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi na ndicho kinachotokea sasa hivi Zanzibar.
Ama kweli Magufuli alikuwa ni Rais mwenye maono na kuweza kuona mbali sana ndiyo maana hata igizo la corona aliliona kabla ya wengi hawajaona.
Ipo na inaongoza kwa kuvutia wataliiHivi ile mbuga ya wanyama burigi bado ipo? au raia washagawana wanyama
Wewe ulipoteza wazazi wangapi?Ukampa kabisa akili zako hayati JPM akushikie, aibu yako hii.
Watu wamepoteza wazazi wao kwa covid 19 wewe unaliona ni igizo, panua ubongo wako uone mbali zaidi ya mawazo yanayotokana na kushikiwa akili.
Huko Roma ndani ya miezi miwili walikufa mapadre zaidi ya 200 wewe unaliona ni igizo.
Swali la kitoto hili mkuu EtwegeWewe ulipoteza wazazi wangapi?
Amka usingizini wewe .Yote pembeni, hivi mnaoita Corona ni igizo mnajua kuna watu wamepoteza watu wa karibu (Wazazi, watoto, wanandoa wenza) kwa Corona. Wengine zaidi ya mmoja na wengine wameponea kwenye chupa za Oxygen?! Inauma sana mnavyofanya huu upumbavu kisa tu mnataka kuendeleza ibada zenu za kuabudiana binadamu kwa binadamu.