Video ya Hayati Magufuli akimnadi Dkt. Mwinyi imenitoa machozi

Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya ccm na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake.
Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa onyo kwa wazanzibar ikiwa watamchagua Dk Mwinyi kuwa Rais wao hiii wataiona Zanzibar itakavyopaa kwa maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi na ndicho kinachotokea sasa hivi Zanzibar.

Ama kweli Magufuli alikuwa ni Rais mwenye maono na kuweza kuona mbali sana ndiyo maana hata igizo la corona aliliona kabla ya wengi hawajaona

Kwa hiyo kikwazo cha maendeleo ya Zanzibar alikuwa ni Shein na wengine waliomtangulia?
 
Upo sahihi sana mkuu. Angekuwa hai wangesema unatafuta teuzi. Hata sasa watasema wewe ni sukuma gang.

Ukweli lazima usemwe. Pamoja na mapungufu yake JPM alikuwa Rais mwenye maono.
 
Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya ccm na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake.
Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa onyo kwa wazanzibar ikiwa watamchagua Dk Mwinyi kuwa Rais wao hiii wataiona Zanzibar itakavyopaa kwa maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi na ndicho kinachotokea sasa hivi Zanzibar.

Ama kweli Magufuli alikuwa ni Rais mwenye maono na kuweza kuona mbali sana ndiyo maana hata igizo la corona aliliona kabla ya wengi hawajaona
Igizo limeondoka na kichwa cha mtu, tuliacha science tukafata ushirikina
 
Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya CCM na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake.

Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa onyo kwa wazanzibar ikiwa watamchagua Dk Mwinyi kuwa Rais wao hiii wataiona Zanzibar itakavyopaa kwa maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi na ndicho kinachotokea sasa hivi Zanzibar.

Ama kweli Magufuli alikuwa ni Rais mwenye maono na kuweza kuona mbali sana ndiyo maana hata igizo la corona aliliona kabla ya wengi hawajaona.

Yote pembeni, hivi mnaoita Corona ni igizo mnajua kuna watu wamepoteza watu wa karibu (Wazazi, watoto, wanandoa wenza) kwa Corona. Wengine zaidi ya mmoja na wengine wameponea kwenye chupa za Oxygen?! Inauma sana mnavyofanya huu upumbavu kisa tu mnataka kuendeleza ibada zenu za kuabudiana binadamu kwa binadamu.
 
Back
Top Bottom