Video ya Hayati Magufuli akimnadi Dkt. Mwinyi imenitoa machozi

Kwa hiyo kikwazo cha maendeleo ya Zanzibar alikuwa ni Shein na wengine waliomtangulia?
 
Upo sahihi sana mkuu. Angekuwa hai wangesema unatafuta teuzi. Hata sasa watasema wewe ni sukuma gang.

Ukweli lazima usemwe. Pamoja na mapungufu yake JPM alikuwa Rais mwenye maono.
 
Igizo limeondoka na kichwa cha mtu, tuliacha science tukafata ushirikina
 
Yote pembeni, hivi mnaoita Corona ni igizo mnajua kuna watu wamepoteza watu wa karibu (Wazazi, watoto, wanandoa wenza) kwa Corona. Wengine zaidi ya mmoja na wengine wameponea kwenye chupa za Oxygen?! Inauma sana mnavyofanya huu upumbavu kisa tu mnataka kuendeleza ibada zenu za kuabudiana binadamu kwa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…