Video ya Hayati Magufuli akimnadi Dkt. Mwinyi imenitoa machozi

Samahani naomba ufafanuzi nani ni mtawala wa nchi hii kati ya Jiwe na mama maana naona Jiwe anatrend sana humu siku hizi
 
Sasa kipi cha kukutoa macho hapo?
 
Umeacha kulia kuhusu Ujinga wa Watu wachache Kama ninyi mpaka ccm wanasema wanatumia dola kubakia madarakani na kubambikia watu kesi za kubumba wewe juha unalia kwa vitu vya kijinga tuu.
 
Jaza kabisa machozi kwenye pipa yatajusaidia japo ulimie mchicha 😀😀😀
 
Kutoka machozi kwa kuangalia clip hiyo ni kielelezo cha Undezi na Uzembe ulionao.

Sijui kama kwenye familia yako wanakuheshimu kwa kutoka machozi kwa vitu vya kama hivi
Acha Upuuzi wewe
 
Vzr 👏
 
Una matumizi sahihi ya machozi
 
mfate
 
itachukua muda san akumpata Dk.Magufuli mwingine,kifo chake ilikuwa ni simamzi nzito kwa watanzania wengi nina imani hata wale waliofurahi walikuwa ni wachache sana.
 
itachukua muda san akumpata Dk.Magufuli mwingine,kifo chake ilikuwa ni simamzi nzito kwa watanzania wengi nina imani hata wale waliofurahi walikuwa ni wachache sana.
Hatuwezi kupata Dubwasha jingine la HOVYO kama Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…