Video ya Hayati Magufuli akimnadi Dkt. Mwinyi imenitoa machozi

Hatuwezi kupata Dubwasha jingine la HOVYO kama Magufuli.
wewe ndio dumbwasha unadhani usipompenda wewe na wengine hawampendi au hayo maneno yako yatabadilisha kitu???????

Magufuli anabaki kuwa best President ever hata wastaafu wanajua hilo
 
Unalia nini sasa..ukiwa kiunoni si ndo huwa unatoa machozi kama mtoto mdogo!
 
Ukampa kabisa akili zako hayati JPM akushikie, aibu yako hii.

Watu wamepoteza wazazi wao kwa covid 19 wewe unaliona ni igizo, panua ubongo wako uone mbali zaidi ya mawazo yanayotokana na kushikiwa akili.

Huko Roma ndani ya miezi miwili walikufa mapadre zaidi ya 200 wewe unaliona ni igizo.
 
Wewe ulipoteza wazazi wangapi?
 
Amka usingizini wewe .
 
Uchawa
 
unalialia km demu basi olewa!!! me mwenzio anatamka ufala weye unalia mweee! mangese ni mengi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…