The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Dah huyu mzee nikimuona roho inaniuma sana. Kuna maumivu napata ambayo hayasemeki.
Mzilankende MnyagoHuyu mzee picha yake huniletea machozi sijawahi kumpenda kiongozi kama nilivyompendw huyu
Chuma, Jiwe, Ngosha, Mzilankende MnyagoMwamba huyo hapo.
Aendelee kupumzika kwa amani🙏
Familia ya Ben Saa8 nayo ikimuona inajisikia hivyo hivyo Kama wewe.Dah huyu mzee nikimuona roho inaniuma sana. Kuna maumivu napata ambayo hayasemeki.
Sema hakyamungu!Dah huyu mzee nikimuona roho inaniuma sana. Kuna maumivu napata ambayo hayasemeki.
Kwa wapinzani na waislam baadhi hawana hamu naeHuyu mzee picha yake huniletea machozi sijawahi kumpenda kiongozi kama nilivyompendw huyu
Leo nimeaminiHuyu mzee picha yake huniletea machozi sijawahi kumpenda kiongozi kama nilivyompendw huyu