Video ya Rais Magufuli akiwatakiwa wananchi heri ya Christmass

Video ya Rais Magufuli akiwatakiwa wananchi heri ya Christmass

Unampangiaje mtu siku 2 tatu za kwenda kwao, what if ana likizo ya mwezi mzima ???

Tatizo mzee alivunja sana taratibu na sheria za kila kitu...
 
Yanafikia maumivu ya ndugu za leopold Rwajabe? Ben Saanane , Kanguye ,Azory? Yanafikia maumivu aliyopata Lissu?

Ni ndugu zako? Una ushahidi wowote kuwa huyo mzee ndiye alihusika na kupotea kwa hao watu? Je, nikisema kuwa unafuata mkumbo nitakua nakosea?
 
Sikubali kama Mungu kakosa wa kuongoza malaika wake! Ya kwetu ya kidunia yaishie hapahapa duniani, ya huko hatuyajui!
 
Enzi hizo tulikuwa na kiongozi anayehitajika tanzania.Kwa sasa wtz wamebaki kulia na kusaga meno maana wamekosa mtetezi kama ilivyokuwa enzi hizo
 
Inaumiza sana, saaaana, hasa katika kipindi hiki cha walamba asali...
Walamba Asali wanataka tuishi Kama Wanyama huko Porini hakuna kufuata Sheria,kila Mtu amtafune mnyonge wake! Rules of the jungle!!
 
Ndio rais wetu. Alipigania kuboresha maisha yetu. Kipindi hiki cha sikuku na maisha kwa jumla hayakua makuguvkiasi hiki.. hata kupika wali nyumbani imekua ngumu.
Lazima watanzania wamkumbuje...
 
Back
Top Bottom