wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Yaani wewe mkurugenzi Mimi nikulipe mshahara,posho ya dereva,nikulipie nyumba na umtangaze mpinzani kua mbunge hiiiiiiiiiiiiiiiiii patachimbika.Kila mtu anamkumbuka kwa nafasi yake mimi nakumkumba na kauli yake
Hapa mkiniletea wachadema hampati maendeleo namtaka wa sisiemu