Ki protocal hata hii footage haikutakiwa itoke lkn kwakua ma beberu yanapenda kutudhalilisha ndio mana imetoka na kuzagaa ndio mana kwetu ilkua footage zote znahaririwa na mawasiliano ikulu ndio media zngne znapata content
Hakuna kazi rahisi kama Urais,
Yani wewe kazi yako ni kutoa maelekezo tu
Hata Biden huwa anapotea sana Jengo Jeupe
Na kuna wakati alimkanyaga paka akasema aah paka mwenyewe mweusi
Hawa wazee wafukuzwe tu
Huyo nahisi ndio atakuja mwaga kubwaBado M7 anakomaa.
Nitachekaje?Huyo nahisi ndio atakuja mwaga kubwa
Hatareeee aisee..Biya anaishi Switzerland katika Intercontinental Hotel, kutokea huko Ulaya ndipo anapoingoza Cameroon!
[emoji3][emoji3]Imagine hata kutomb ...... huwezi uongozi wa kazi gani sasa!
hata hivyo yeye si wa kwanza kutokewa namabo hayaWewe unasema hali ya huyo Rais kitokwa na mkojo hadharani kwamba kadhalilika, mimi nasema hivi; kudhalilika kunategemea na mazingira, huyo Rais ni mgonjwa na ugonjwa huo ni maarufu sana hivyo jambo likimtokea mgonjwa kwa Sababu ya huo ugonjwa hapo hakuna udhalilifu kwasababu ni Ugonjwa ndio umesababisha jambo hilo, udhalilifu unakuja katika mazingira yasiyokuwa ya Ugonjwa mfano nikakupa kwamba kama huyo Raisi angekuwa kanywa pombe na mkojo ukamtoka kwa bahati mbaya au kwa kusudi au akajiharishia hapo ndipo lugha ya udhalilifu inaingia, chukua mfano huu; kama badala ya kujikojolea aangeanguka kifafa na kutokwa povu mdomoni je hapo ungesema kadhalilika??
Usichanganye kati ya kudhalilika kwa kutokwa na haja (uchafu) hadharani kwa sababu ya kujitakia na hali hiyo itokee kwa bahati mbaya kutokana na ugonjwa ambao kila mtu anaweza kuupata.
Hawa wazee tunawaonea tu; kuna magenge huwa yanawasimika> Jiulize huyu anayepigiwa debe na lile kundi ambalo kwalo halitaonja mauti kwakuwa ni watu wema; jiulize 7years to come atakuwaje: hata hapa kwetu yanatokea mara kadhaaHata Biden huwa anapotea sana Jengo Jeupe
Na kuna wakati alimkanyaga paka akasema aah paka mwenyewe mweusi
Hawa wazee wafukuzwe tu
Ni kweli tena kwetu ndio usiseme kabisa maana kuna wastaafu hawataki kuacha kazi ingawa hawana kazi bali wanalazimishaHawa wazee tunawaonea tu; kuna magenge huwa yanawasimika> Jiulize huyu anayepigiwa debe na lile kundi ambalo kwalo halitaonja mauti kwakuwa ni watu wema; jiulize 7years to come atakuwaje: hata hapa kwetu yanatokea mara kadhaa
Hatakuwa mgojwa yani hata hastituki daaMadaraka matamu bhana...
Anaweza akawa anaendesha baiskeli mbona hata nyani wanaendesha?Uongo mtupu, Biden hadi Baiskeli anaendesha.
Mtoto wa mjini mshamba tu
Mtu kama ruto ndiyo mtoto mjini sasa
Mumpe mda mje kuangalia mzee wa fursa hata akija kuwapiga nyie mnabarikia mnaona poa tu
Mtoto wenu wa mjini kwa sasa anayofanya kwa asilimia kubwa amejifunza kwa msukuma sasa mtoto wa mjini gani wote viazi tu
Huyu Salva Kirr alishatangaza vita na waandishi wa Habari tangu zamani na haya ndio matokeo na laana zinamtafuna
Wameuwawa wote duh