Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

Vipi kama ilikuwa live coverage??!
Ki protocal hata hii footage haikutakiwa itoke lkn kwakua ma beberu yanapenda kutudhalilisha ndio mana imetoka na kuzagaa ndio mana kwetu ilkua footage zote znahaririwa na mawasiliano ikulu ndio media zngne znapata content
 
Wewe unasema hali ya huyo Rais kitokwa na mkojo hadharani kwamba kadhalilika, mimi nasema hivi; kudhalilika kunategemea na mazingira, huyo Rais ni mgonjwa na ugonjwa huo ni maarufu sana hivyo jambo likimtokea mgonjwa kwa Sababu ya huo ugonjwa hapo hakuna udhalilifu kwasababu ni Ugonjwa ndio umesababisha jambo hilo, udhalilifu unakuja katika mazingira yasiyokuwa ya Ugonjwa mfano nikakupa kwamba kama huyo Raisi angekuwa kanywa pombe na mkojo ukamtoka kwa bahati mbaya au kwa kusudi au akajiharishia hapo ndipo lugha ya udhalilifu inaingia, chukua mfano huu; kama badala ya kujikojolea aangeanguka kifafa na kutokwa povu mdomoni je hapo ungesema kadhalilika??

Usichanganye kati ya kudhalilika kwa kutokwa na haja (uchafu) hadharani kwa sababu ya kujitakia na hali hiyo itokee kwa bahati mbaya kutokana na ugonjwa ambao kila mtu anaweza kuupata.
hata hivyo yeye si wa kwanza kutokewa namabo haya
 
Hata Biden huwa anapotea sana Jengo Jeupe
Na kuna wakati alimkanyaga paka akasema aah paka mwenyewe mweusi

Hawa wazee wafukuzwe tu
Hawa wazee tunawaonea tu; kuna magenge huwa yanawasimika> Jiulize huyu anayepigiwa debe na lile kundi ambalo kwalo halitaonja mauti kwakuwa ni watu wema; jiulize 7years to come atakuwaje: hata hapa kwetu yanatokea mara kadhaa
 
Hawa wazee tunawaonea tu; kuna magenge huwa yanawasimika> Jiulize huyu anayepigiwa debe na lile kundi ambalo kwalo halitaonja mauti kwakuwa ni watu wema; jiulize 7years to come atakuwaje: hata hapa kwetu yanatokea mara kadhaa
Ni kweli tena kwetu ndio usiseme kabisa maana kuna wastaafu hawataki kuacha kazi ingawa hawana kazi bali wanalazimisha
Yaani mikutano yote duniani wao, likija suala la usuluhisho mahali wapo

Unajiuliza hivi huwa wanaangalia ratiba zote za Dunia?
Au huwa wanapiga simu kwa Rais na kusema mama utaenda huo mkutano au niende au Twende wote? [emoji1]

Na yupo mwingine wa Nigeria nae alimaliza mda wake miaka kibao ila kila mkutano yumo
Ugomvi mdogo unamkuta eti anasuluhisha

Yaani waafrika tuna matatizo kichwani
Na huyu akisikia atakuwepo sana ndio kabisa anaona hakuna anaemfikia kwa sifa
 
Uongo mtupu, Biden hadi Baiskeli anaendesha.
Anaweza akawa anaendesha baiskeli mbona hata nyani wanaendesha?

Ila ana signs zote za dementia
Mbona wameandika sehemu nyingi na mpaka anapotea?

Mkuu tunaona kwenye mitandao na hata live YouTube
Screenshot_20221216_163853_Google.jpg
 
Mtoto wa mjini mshamba tu
Mtu kama ruto ndiyo mtoto mjini sasa
Mumpe mda mje kuangalia mzee wa fursa hata akija kuwapiga nyie mnabarikia mnaona poa tu
Mtoto wenu wa mjini kwa sasa anayofanya kwa asilimia kubwa amejifunza kwa msukuma sasa mtoto wa mjini gani wote viazi tu

Kikwete yupo hata Magufulil hajulikani.
 
Back
Top Bottom