Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

Huyo ana afadhali maana kutozuia mkojo kunaweza kusiathiri akili na ufanyaji wa maamuzi. Kuna huyu Bola Asiwaji Tinubu (BAT) mgombea wa chama tawala cha APC pale Nigeria, huyu mzee hana sifa yoyote ya kuwa Rais hata angekuwa na miaka 50. Ukitazama speech zake bila teleprompter hawezi kabisa kuongea, anatetemeka mwili, anatembea kwa shida, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kwa sababu akiulizwa hiki anajibu kile. Waliosoma nae wana miaka zaidi ya 80 ila yeye anasema ana 70 na ngapi sijui. Hii Afrika ina shida sana
 
CHAMA CHAKE MAJUZI KIMEMPITISHA KUGIMBEA TENA MKUU...WATAYARISHE KABURI MAPEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…