Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipiNimehuzunika Sana.
sijapenda tu...nimejaribu kuvaa viatu vyake vimenibanaKivipi
Unataka kutuchokoza sisi askari wa sudani Kusini. Tutakuja kukubeba kama mweweTunaomba muendeezo wa hiyo clip tafadhali, baada ya wimbo wa taifa kuisha nini kilifata?
Hata hao walioendelea kuchukua video walikosea sanasijapenda tu...nimejaribu kuvaa viatu vyake vimenibana
CHAMA CHAKE MAJUZI KIMEMPITISHA KUGIMBEA TENA MKUU...WATAYARISHE KABURI MAPEMAKatika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri wao kuwa mkubwa na wengine wakiwa na afya zisizoridhisha.
Mwaka huu 2022, pia mgombea wa Urais nchini Nigeria Bola Ahmed Adekunle Tinubu mwenye miaka 70 alionekana akiwa na mfuko maalumu wa kuhifadhia mkojo wakati wa mchakato wa kuanza kampeni hali iliyopelekea wananchi kuhoji kuhusu afya yake na majukumu anayotaka kugombea.
Hata hao walioendelea kuchukua video walikosea sana
Imagine hata kutomb ...... huwezi uongozi wa kazi gani sasa!Umri mkubwa, na viungo vinakuwa vimechoka