Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

KUWEKA HAPA UNA MOYO YAAN ...
NGOJA NKANUNUE JEZI YA FRANCE MIE NIJIANDAE...BABU KAKOMAA KAM HAKUNA TUKIO..KINGINE WALINZI MMOJA ALIKUWA ANACHEKA KMOYOMOYO HAHAHAAAAA ...

DJ NAOMBA WIMBO WA DUNIA TUNAPITAA EE KILAKITU KITABAKIAA..........
 
Kama katiba zinataka utimamu wa akili kwa nini zisitake utimamu wa afya? Hata kama kiongozi atapata ugonjwa utaokaochukua muda mrefu kutibiwa na kupona au kutokupona ni bora ajiuzulu. Maradhi ambayo yataathiri uimara wa afya ya kiongozi ni aibu kwa taifa bora aachie madaraka akashughulikie afya yake
 
Mtu kama huyu ni dhahiri ni mroho, mbinafsi, mlafi anayelenga maslahi yake. Waafrika na shetani wana udugu.
 
Na kweli sio tukio la kawaida hadi mwenyewe kajistukia.

Ila hio ni dharura ya kibinadamu , tunampa pole sana.
 
Angevaa suti ya rangi nyeusi, kidogo ingesaidia kuficha hiyo aibu.
Hiyo rangi ya suti aliyovaa, si rafiki kama wanajua kibofu kishafanya yake.
Viongozi wa kung'ang'ania madarakani, kila uchaguzi wapo. Utasema hakuna wengine wenye sifa za kuongoza nchi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…