Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kwa nini watayarishe kaburi?
CHAMA CHAKE MAJUZI KIMEMPITISHA KUGIMBEA TENA MKUU...WATAYARISHE KABURI MAPEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHAMA CHAKE MAJUZI KIMEMPITISHA KUGIMBEA TENA MKUU...WATAYARISHE KABURI MAPEMA
Lakuzikia akifaKwa nini watayarishe kaburi?
Ukishazoea ule ukubwa ukubwa na kunyenyekewa, kuacha si rahisiImagine hata kutomb ...... huwezi uongozi wa kazi gani sasa!
Ok.Lakuzikia akifa
KUWEKA HAPA UNA MOYO YAAN ...Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri wao kuwa mkubwa na wengine wakiwa na afya zisizoridhisha.
Mwaka huu 2022, pia mgombea wa Urais nchini Nigeria Bola Ahmed Adekunle Tinubu mwenye miaka 70 alionekana akiwa na mfuko maalumu wa kuhifadhia mkojo wakati wa mchakato wa kuanza kampeni hali iliyopelekea wananchi kuhoji kuhusu afya yake na majukumu anayotaka kugombea.
Isingewezekana wakati wimbo wa Taifa unaendelea. Amalize haja, wimbo ukiisha atapelekwa akajisitiri.Naona makamanda wake wanamuangalia wasijue watamsaidia nini kwa haraka na mambo yameshaenda mrama.
Matamu duniani lakini wanaenda teseka kuzimuMadaraka matamu bhana...
Halafu wamoroco wakikataa kuwa sio waafrica mnawaponda.Basi TU mjomba anatembea na gari yenye choo kuogopa Mambo Kama haya...Afrika Ni bara lenye laana.
Naam, ugonjwa wa kushindwa kuzuia mkojo ni wa kukufanya upate heshima kwenye jamii sio?.
Wapo sahihi tu mtu Hadi kufikia kujinyea mbele za watu SI roho ya kawaidaHalafu wamoroco wakikataa kuwa sio waafrica mnawaponda.
Ukute kwenye ile miguo yake oversize kuna adult diaper.Bado M7 anakomaa.
Unafeli ndugu kuwa na huzuni kwa hayo mashetani matawala ya Afrika. Huyo mshenzi sana, na Mola anayaadhiri kwa namna hiyo hayo mashenzi.Ila mchukua video kaniangusha Sana
Kamuabisha Sana mkuu WA inchi
Mtu kama huyu ni dhahiri ni mroho, mbinafsi, mlafi anayelenga maslahi yake. Waafrika na shetani wana udugu.Huyo ana afadhali maana kutozuia mkojo kunaweza kusiathiri akili na ufanyaji wa maamuzi. Kuna huyu Bola Asiwaji Tinubu (BAT) mgombea wa chama tawala cha APC pale Nigeria, huyu mzee hana sifa yoyote ya kuwa Rais hata angekuwa na miaka 50. Ukitazama speech zake bila teleprompter hawezi kabisa kuongea, anatetemeka mwili, anatembea kwa shida, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kwa sababu akiulizwa hiki anajibu kile. Waliosoma nae wana miaka zaidi ya 80 ila yeye anasema ana 70 na ngapi sijui. Hii Afrika ina shida sanaView attachment 2446300
Mpaka anye ndo aacheBado M7 anakomaa.
Na kweli sio tukio la kawaida hadi mwenyewe kajistukia.Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri wao kuwa mkubwa na wengine wakiwa na afya zisizoridhisha.
Mwaka huu 2022, pia mgombea wa Urais nchini Nigeria Bola Ahmed Adekunle Tinubu mwenye miaka 70 alionekana akiwa na mfuko maalumu wa kuhifadhia mkojo wakati wa mchakato wa kuanza kampeni hali iliyopelekea wananchi kuhoji kuhusu afya yake na majukumu anayotaka kugombea.