Weeee juzi kasogeza uchaguzi wa sudan...mpk 2026Itoshe kusema sasa basi yatosha.
Hata hao walioendelea kuchukua video walikosea sana
Ni sawa mkuu mi nimekusudia yaani ugonjwa ambao automatically unakufanya udhalilike bila hata watu kuchunguza sababu ni pombe au afya kama afya.
Kwanini hakutembea na mfuko/pampers wakati hali yake anaijua?Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri wao kuwa mkubwa na wengine wakiwa na afya zisizoridhisha.
Mwaka huu 2022, pia mgombea wa Urais nchini Nigeria Bola Ahmed Adekunle Tinubu mwenye miaka 70 alionekana akiwa na mfuko maalumu wa kuhifadhia mkojo wakati wa mchakato wa kuanza kampeni hali iliyopelekea wananchi kuhoji kuhusu afya yake na majukumu anayotaka kugombea.
Huyu jamaa alikuwa anapigiania uhuru wa South Sudan kwa nguvu zote na John Garang. Bahati mbaya Garang akafariki kwa ajali ya ndege, huyu akashika usukani. Na wakafanikiwa kupewa nchi. Baada ya kupewa nchi wameendelea kupigana wao kwa wao na maelfu ya watu wasio na hatia wamekufa kwa njaa na mapigano.Unafeli ndugu kuwa na huzuni kwa hayo mashetani matawala ya Afrika. Huyo mshenzi sana, na Mola anayaadhiri kwa namna hiyo hayo mashenzi.
Hiyo mamaTunaomba muendeezo wa hiyo clip tafadhali, baada ya wimbo wa taifa kuisha nini kilifata?
Hivi mbona hawatokagi shaha.. naa wanatoka mjokoo??Ugonjwa katika hali yoyote sio kudhalilika, labda ungeniambia huo ni ugonjwa mpya!!-- kutoka kwa mkojo bila kujitambua huo ni ugonjwa maarufu kwa watu wenye umri mkubwa, hiyo inafahamika, ni watu wasiojua kudhalilika ni kupi ndio watashikilia kwamba hali hiyo ni udhalilifu, Ugonjwa unaweza kumshika mtu katika.mazingira yoyote bila taarifa katika hali hiyo huwezi kusema huo ni udhalilifu, nasema kama angekunywa pombe na akajiharishia au kujikojolea hapo ndio udhalilifu yaani kajidhalilisha.
Kumbuka hata mimi na wewe(mungu apishe mbali) tunaweza kukumbwa na Ugonjwa huo. Ondoa neno udhalilifu katika ugonjwa na weka neno udhalilifu katika jambo la kujitakia.
You are correct. Unajua sisi binadamu tukiwa wazima wa afya huwa tunajisahau sana. Hasa watanzania. Huu ni ugonjwa na unaweza kumpata mtu yoyote. Nadhani kinachokasirisha watu ni legancy ambayo viongozi wengi wa Afrika wameishaiandika, ya kupenda kung'ang'ania madaraka. Hili limefanya waafrika wengi wafurahi wanapoona kiongozi amefikwa na matatizo.Ugonjwa katika hali yoyote sio kudhalilika, labda ungeniambia huo ni ugonjwa mpya!!-- kutoka kwa mkojo bila kujitambua huo ni ugonjwa maarufu kwa watu wenye umri mkubwa, hiyo inafahamika, ni watu wasiojua kudhalilika ni kupi ndio watashikilia kwamba hali hiyo ni udhalilifu, Ugonjwa unaweza kumshika mtu katika.mazingira yoyote bila taarifa katika hali hiyo huwezi kusema huo ni udhalilifu, nasema kama angekunywa pombe na akajiharishia au kujikojolea hapo ndio udhalilifu yaani kajidhalilisha.
Kumbuka hata mimi na wewe(mungu apishe mbali) tunaweza kukumbwa na Ugonjwa huo. Ondoa neno udhalilifu katika ugonjwa na weka neno udhalilifu katika jambo la kujitakia.
Kenya wakati wa hayati Mwai Kibaki yeye suruali ilivuka kabisa, ikadondoka.Nimeshindwa kuangalia video mara mbili. Ni fedheha kubwa sana, alipojiangalia sasa. Nami najiuliza hilo swali aliondokaje?
Ama walinzi walimzingira, kama kumficha?
Duh kwamba huyu Mokaze ni kadiani?.
Nakumbuka vema lile tukio.Hivi mnakumbuka Mwai Kibaki wa Kenya suruali ilidondoka kabisa? Ni bora hata huyu unaweza kusema ni ugonjwa. Lakini Kibaki suruali ilivuka ikabidi mlinzi amvalishe.
HaichekeshiAfrica sijui nani katuloga, kuna nchi nyingine ilimchagua rais mwenye ugonjwa mzito wa moyo.
InahuzunishaHaichekeshi
Yaani sijui tunabishania nini, anyway haya.Ugonjwa katika hali yoyote sio kudhalilika, labda ungeniambia huo ni ugonjwa mpya!!-- kutoka kwa mkojo bila kujitambua huo ni ugonjwa maarufu kwa watu wenye umri mkubwa, hiyo inafahamika, ni watu wasiojua kudhalilika ni kupi ndio watashikilia kwamba hali hiyo ni udhalilifu, Ugonjwa unaweza kumshika mtu katika.mazingira yoyote bila taarifa katika hali hiyo huwezi kusema huo ni udhalilifu, nasema kama angekunywa pombe na akajiharishia au kujikojolea hapo ndio udhalilifu yaani kajidhalilisha.
Kumbuka hata mimi na wewe(mungu apishe mbali) tunaweza kukumbwa na Ugonjwa huo. Ondoa neno udhalilifu katika ugonjwa na weka neno udhalilifu katika jambo la kujitakia.