Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

25 October 2022

South Sudan’s vice president, Dr. Riek Machar, has rejected a move to kick him out of the ruling party, a sign of renewed political tensions that could put pressure on the country’s rocky peace process.

The world’s youngest nation has lurched from crisis to crisis since it proclaimed independence from Sudan in July 2011, and is held together by a fragile unity government between historic foes President Salva Kiir and Machar..... source : South Sudan’s VP Riek Machar rejects ouster from ruling party
 
Ni sawa mkuu mi nimekusudia yaani ugonjwa ambao automatically unakufanya udhalilike bila hata watu kuchunguza sababu ni pombe au afya kama afya.

Ugonjwa katika hali yoyote sio kudhalilika, labda ungeniambia huo ni ugonjwa mpya!!-- kutoka kwa mkojo bila kujitambua huo ni ugonjwa maarufu kwa watu wenye umri mkubwa, hiyo inafahamika, ni watu wasiojua kudhalilika ni kupi ndio watashikilia kwamba hali hiyo ni udhalilifu, Ugonjwa unaweza kumshika mtu katika.mazingira yoyote bila taarifa katika hali hiyo huwezi kusema huo ni udhalilifu, nasema kama angekunywa pombe na akajiharishia au kujikojolea hapo ndio udhalilifu yaani kajidhalilisha.

Kumbuka hata mimi na wewe(mungu apishe mbali) tunaweza kukumbwa na Ugonjwa huo. Ondoa neno udhalilifu katika ugonjwa na weka neno udhalilifu katika jambo la kujitakia.
 
Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri wao kuwa mkubwa na wengine wakiwa na afya zisizoridhisha.

Mwaka huu 2022, pia mgombea wa Urais nchini Nigeria Bola Ahmed Adekunle Tinubu mwenye miaka 70 alionekana akiwa na mfuko maalumu wa kuhifadhia mkojo wakati wa mchakato wa kuanza kampeni hali iliyopelekea wananchi kuhoji kuhusu afya yake na majukumu anayotaka kugombea.

Kwanini hakutembea na mfuko/pampers wakati hali yake anaijua?
 
Unafeli ndugu kuwa na huzuni kwa hayo mashetani matawala ya Afrika. Huyo mshenzi sana, na Mola anayaadhiri kwa namna hiyo hayo mashenzi.
Huyu jamaa alikuwa anapigiania uhuru wa South Sudan kwa nguvu zote na John Garang. Bahati mbaya Garang akafariki kwa ajali ya ndege, huyu akashika usukani. Na wakafanikiwa kupewa nchi. Baada ya kupewa nchi wameendelea kupigana wao kwa wao na maelfu ya watu wasio na hatia wamekufa kwa njaa na mapigano.
 
Ugonjwa katika hali yoyote sio kudhalilika, labda ungeniambia huo ni ugonjwa mpya!!-- kutoka kwa mkojo bila kujitambua huo ni ugonjwa maarufu kwa watu wenye umri mkubwa, hiyo inafahamika, ni watu wasiojua kudhalilika ni kupi ndio watashikilia kwamba hali hiyo ni udhalilifu, Ugonjwa unaweza kumshika mtu katika.mazingira yoyote bila taarifa katika hali hiyo huwezi kusema huo ni udhalilifu, nasema kama angekunywa pombe na akajiharishia au kujikojolea hapo ndio udhalilifu yaani kajidhalilisha.

Kumbuka hata mimi na wewe(mungu apishe mbali) tunaweza kukumbwa na Ugonjwa huo. Ondoa neno udhalilifu katika ugonjwa na weka neno udhalilifu katika jambo la kujitakia.
Hivi mbona hawatokagi shaha.. naa wanatoka mjokoo??
 
You are correct. Unajua sisi binadamu tukiwa wazima wa afya huwa tunajisahau sana. Hasa watanzania. Huu ni ugonjwa na unaweza kumpata mtu yoyote. Nadhani kinachokasirisha watu ni legancy ambayo viongozi wengi wa Afrika wameishaiandika, ya kupenda kung'ang'ania madaraka. Hili limefanya waafrika wengi wafurahi wanapoona kiongozi amefikwa na matatizo.
 
Duh kwamba huyu Mokaze ni kadiani?.

Mimi ni muisilamu wa Jumuiyya ya Ahmadiyya, Jumuiya ya Ahmadiyya imeanzishwa kwa amri ya Mungu na Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) mwaka 1889, Yeye alizaliwa katika kijiji cha Qadian huko India mwaka 1835. Huyo ndiye nabii Isa wa mfano aliyesubiriwa kuja kutoka miongoni mwa waisilamu kuja kufundisha ule Uisilamu alioufundisha kipenzi chetu Mtukufu mtume Muhammad (saw), Hadhrat Ahmad (as) ni nabii mfuasi wa mtukufu mtume Muhammad (saw), kaja kuwaunganisha waisilamu chini bendera ya " laa illa illallah muhammad rasullah" isitoshe kaja kuwafanya watu wa dini zingine waingie kwenye Uisilamu.
 
Hivi mnakumbuka Mwai Kibaki wa Kenya suruali ilidondoka kabisa? Ni bora hata huyu unaweza kusema ni ugonjwa. Lakini Kibaki suruali ilivuka ikabidi mlinzi amvalishe.
Nakumbuka vema lile tukio.
Hawa watu hawastahili kuhurumiwa.
Ninawashangaa wanaowahurumia in the name of humanity. No wonder watawala wataendelea kutucheza shere wanajua tu wepesi kusahau na ku-sympathise.
 
hizo ni hisia kali na uzalendo uliopitiliza ndio vimepelekea hayo, wengine katika hali kama hiyo utoa hata ushuzi ila kijambo kwenye video huwezi kukiona.
mimi kama mtu wa Propaganda nasimama na Babu,ni mambo ya tu hisia hayo acheni nongwa.
 
Ugonjwa katika hali yoyote sio kudhalilika, labda ungeniambia huo ni ugonjwa mpya!!-- kutoka kwa mkojo bila kujitambua huo ni ugonjwa maarufu kwa watu wenye umri mkubwa, hiyo inafahamika, ni watu wasiojua kudhalilika ni kupi ndio watashikilia kwamba hali hiyo ni udhalilifu, Ugonjwa unaweza kumshika mtu katika.mazingira yoyote bila taarifa katika hali hiyo huwezi kusema huo ni udhalilifu, nasema kama angekunywa pombe na akajiharishia au kujikojolea hapo ndio udhalilifu yaani kajidhalilisha.

Kumbuka hata mimi na wewe(mungu apishe mbali) tunaweza kukumbwa na Ugonjwa huo. Ondoa neno udhalilifu katika ugonjwa na weka neno udhalilifu katika jambo la kujitakia.
Yaani sijui tunabishania nini, anyway haya.
 
Back
Top Bottom