Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

Sijui unatetea nini? Mbona nyeusi unataka kuilazimisha iwe nyeupe? Hapo kadhalilika na ni aibu kwa taifa zima
 
Uzee una shida nyingi muda mwingine, mi naomba nipumzishwe mapema πŸ˜…πŸ˜…, tulienda kwenye msiba mmoja tukawa tumekaa chumbani watu kibao, tukatolewa wote kuna bibi alikuwa anabadilishwa diapers nikawaza cjui anajisikiaje maskini maana sio kama hajitambui ni mtu ana akili timamu anaogea watu wanacheka lkn ndo hivyo nguvu zimeisha πŸ₯΄
 
Awe anavaa diaper!
 
Bado ile haja nyingine, wasaidizi wake watampeleka mtoni akajioshee huko[emoji16] badala yakutulia na wajukuu nyumbani kutwa kwenye majukwaa.
 
Last week nilisoma mahali Putin nae Hali yake kiafya sio nzuri sina uhakika sana. Alidondoka bahati mbaya haja kubwa ikamtoka ana kansa inamsumbua!
Ila Hawa viongozi wetu sijui wanatafuta nini ushajichokea pesa unayo ya kushato nini kingine wataka!!
 
Mpiga video mshenzi sana akaonesha tukio kwa umakini kwa nini hakutoa kamera? Ili auze? Kama angekuwa baba yake angefanya vile?
 
Umri nao ni tatizo.

Hata Biden naye kachana msamba hadharani mara kadhaa.

Lowasa naye tulikuwa tunaelekea huku huku tu.
Biden sidhan kama video ilitoka ni umbea tu.
 
Ki protocal hata hii footage haikutakiwa itoke lkn kwakua ma beberu yanapenda kutudhalilisha ndio mana imetoka na kuzagaa ndio mana kwetu ilkua footage zote znahaririwa na mawasiliano ikulu ndio media zngne znapata content
Wazungu ndo watakuwa walitoa clip hiyo
 
Huyo ana afadhali maana kutozuia mkojo kunaweza kusiathiri akili na ufanyaji wa maamuzi. Kuna huyu Bola Asiwaji Tinubu (BAT) mgombea wa chama tawala cha APC pale Nigeria...
Mwamba kajipunguzia miaka kumi πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£
 
Hata Biden huwa anapotea sana Jengo Jeupe
Na kuna wakati alimkanyaga paka akasema aah paka mwenyewe mweusi

Hawa wazee wafukuzwe tu
Oh maskini kwani ana shida ya macho ndo maana hakumuona huyo paka?
 
Haja ndogo imemtoka Raisi wa Sudani kusini, Salva Kiir (71), akiwa mbele ya viongozi mbalimbali kwenye mkutano wa kimataifa. Wadau wengi wamedai kuwa ifike wakati viongozi wa Afrika wakubali kuachia madaraka pale umri unapowatupa mikono.


Your browser is not able to display this video.
 
Kwa wanaojua presidential directives za mamlaka kama hapa Tz, ni Nini kinapaswa kifanyike hapo baada ya AIBU hio?

Atabadirishwa Nguo na kuendelea ama zoezi lilokua linaendelea litakomea hapo? Kivyovyote vile hawezi kuachwa hivyo.
Nimeona kwenye misafara ya Viongozi wetu wakuu, hata wakiwa vijijini sehemu ambayo atahutubia kwenye jukwaa wanaandaa choo temporary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…