Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

Akili hamna ushabiki na uzombi umewajaa hadi hao wafadhili wao marekani wameonya kuhusu mauaji ya raia kwa israel kutumia heavy bombs bila ya sababu za msingi kwa raia and thats genocide, hakuna taifa lolote duniani lililoua watu hadi sasa kama israel, ndio maana hata waziri wa vita gantz alijiuzulu na ndio maana waziri wa ulinzi wa sasa gallant anapingana wazi na netanyahu, acheni uzuzu
Hamas wana kambi za kijeshi? Jibu hapana....na kama jibu ni hapana...swali ni Je harakati zao za kijeshi wanafanyia wapi ambapo hakuna raia? Je tangu hivi vita vianze hakuna hamas aliyeuwawa akiwa kajificha miongoni mwa raia hao wanaoitwa wanawake na watoto?
 
Labda mwenzangu sijui elimu yako maana hata hujui kama collective punishment is against international law, unajua wale majudge wa icc walimhold netanyahu accountable ni wakriato kama wewe ila sio mazombi kama wewe, unajua kama aliyetakiwa kuwa mkuu wa majeshi wa israel ni kamanda ambaye alipigana vita na lebanon na hamas ila alitoa kauli ambayo ikamnyima nafasi hiyo ,aliasema haoni tofauti ya israel ya sasa na germay ya kipindi cha hitler, huyu kamand almezaliwa israel, siyo bumunda wa bonyoka kama wewe, na katoa jasho na damu kuilinda israel ila alimwambia netanyahu ukweli
 
Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo

View attachment 3069071

Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja.

Rais wa Iran alitunguliwa juu kwa juu kukiwa na casualities chache sana, hakukuwa na haja ya kulipua jengo lote.

Israel huwa inaumiza sana kichwa kushambulia madui zao Hamas, Hezbollah, wafadhili, n.k. ratio ya civilian casulaities na hata wanyama huwa ni ndogo sana

Vita ya Gaza walikuwa wanatoa muda wa wiki mbili watu wayahame makazi ili kuharibu miundo mbinu ya silaha zinazoishambulia Israel na magaidi wataobaki sehemu hizo kuilinda miundo mbinu, tahadhari zilizochukuliwa ni

Kupiga simu milioni 4
kutuma meseji milioni 6
kurusha vipeperushi milioni 1

vifo vingi vya wapalestina tulivyoviona ni kwa kutumika kama ngao ya Hamas kwa kulazimishwa kubaki eneo la hatari, Hamas kuweka miundombinu ya silaha maeneo yenye raia ili iIsrael wakishambulia wawasingizie, n.k.
IDF well trained and discipline army
 
IDF well trained and discipline army
Leteni source acheni porojo well trained mwaka mzima wanatafuta mateka kwenye kijiji si bora tungepeleka kamanda awadh akailetee heshima nchi
Idf ambayo waziri wake wa vita kajiuzuku huku waziri wa ukinzi akimpinga waIziri mkuu kwamba total victory against hamas haiwezekani
 
Labda mwenzangu sijui elimu yako maana hata hujui kama collective punishment is against international law, unajua wale majudge wa icc walimhold netanyahu accountable ni wakriato kama wewe ila sio mazombi kama wewe, unajua kama aliyetakiwa kuwa mkuu wa majeshi wa israel ni kamanda ambaye alipigana vita na lebanon na hamas ila alitoa kauli ambayo ikamnyima nafasi hiyo ,aliasema haoni tofauti ya israel ya sasa na germay ya kipindi cha hitler, huyu kamand almezaliwa israel, siyo bumunda wa bonyoka kama wewe, na katoa jasho na damu kuilinda israel ila alimwambia netanyahu ukweli
Narudia tena kuuliza hamas ina kambi za kijeshi? Na kama jibu ni hapana! Je harakati zao za kijeshi wanafanyia wapi? Maswali ya nyongeza... Joshua alikuwa mwanajeshi wa Idf? Vipi kuhusu wale Marehemu 1200+ waliky wanajeshi?
 
Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
Leteni source acheni porojo well trained mwaka mzima wanatafuta mateka kwenye kijiji si bora tungepeleka kamanda awadh akailetee heshima nchi
Idf ambayo waziri wake wa vita kajiuzuku huku waziri wa ukinzi akimpinga waIziri mkuu kwamba total victory against hamas haiwezekani
Kama role model wako ni Kamanda Awadh basi sishangai kwa haya mataputapu unayojaza humu ndani
 
Narudia tena kuuliza hamas ina kambi za kijeshi? Na kama jibu ni hapana! Je harakati zao za kijeshi wanafanyia wapi? Maswali ya nyongeza... Joshua alikuwa mwanajeshi wa Idf? Vipi kuhusu wale Marehemu 1200+ waliky wanajeshi?
HIlo litakuwa tatizo la elimu maana hata kama hujui maana ya collective punishment its against inernational law and which means its a war crime, fanya urudi shule acha kuaumbua watu kisa una bando
 
Kama role model wako ni Kamanda Awadh basi sishangai kwa haya mataputapu unayojaza humu ndani
INa maana hujui kama netanyahu anatafutwa na icc? Eh kweli kuwa zombi ni shida , na hujui kama collective punishment is a crime in international law
 
HIlo litakuwa tatizo la elimu maana hata kama hujui maana ya collective punishment its against inernational law and which means its a war crime, fanya urudi shule acha kuaumbua watu kisa una bando
Nina masters ya Sheria. LLB udsm,LLM cape town university ( nimebobea kwenye constitutional laws) Uliza swali. Using people kwenye battle field as human shield is also a war crime kwa mujibu wa Geneva convention.
 
Nina masters ya Sheria. LLB udsm,LLM cape town university ( nimebobea kwenye constitutional laws) Uliza swali.
Hiyo masters itabidi tuichunguze kama mwanasheria hujui kwamba collective punishment, kuzuia chakula kisiingie jwa wahanga ni crime against humanity, na ungepata muda kufuatilia icc case ungejifunza mengi ukiacha chuki zako na ushabiki pembeni, maana wale judges 98% ni christians kama wewe ila wameelimika hiyo ndio tofauti yako na wao
 
Wew sio shabiki kwenye huu mzozo? Hakuna collective punishment hapo.... Hamas ndo anasabanisha human casualties... ! Na ni war crimes kujificha hospital na matakoni mwa wake zao
 
Wew sio shabiki kwenye huu mzozo? Hakuna collective punishment hapo.... Hamas ndo anasabanisha human casualties... ! Na ni war crimes kujificha hospital na matakoni mwa wake zao
Ndio maana nasema hamas wana makosa yao ila israel ana makosa sana huwezi kuua watu kila siku kwa kisingizio cha hamas wanajificha nyuma ya raia, ingekuwa hivyi marekani ai angeitifua afghanistan yote kumpata osama it doesnt work like that, roho za watu ni muhimu kama unavyojijali weww
 
Adui wa Israel ni hamas na hamas bado wapo Gaza kwenye refugee camps,schools, hospitals. Wanachofanya ni kuhama from point a to b kukwepa intelligence ya Israel tu...unashauli nn kifanyike.? Advice accordingly
 
Wewe ungekuwa huna ushabiki kama tangu siku ya mwanzo hamas walipofanya mauaji kwa raia wasio na hatia na wegeni ungelaani kile kitendo.
Hamas na Israel wote tabia zao moja tu ndo maana wao kwa wao hawaoneani huruma.

Kama ulisherekea mauaji ya hamas na kuimba Mungu mkubwa huna usafi wa kukemea wanachofanya Israel na kuwaona wabaya. Kitendo cha dunia nzima kufumbia macho yale mauaji na utekaji uliotokea hiyo siku haya ndo matokeo yake.
Kwa yanayoendelea huko Gaza hakuna mtu au jumuiya ya kumnyooshea mkono Israel kwani sehemu kubwa ya dunia walikaa kimya kubariki na kufurahia kilichotokea tarehe 7 Octoba. Tuacheni unafiki na ushabiki na dharau za kidini matokeo ndo haya tunayaona.
Kichapo kilipoanza watu wale wale wakaanza kulia
 
Attachments

  • 5525590-ab47e7ed6a3edf76e2c7f0902480fd95.mp4
    4.5 MB

Vita vimeanza baada ya October 7 2023, malalmiko yote ya wapuuzi pro Hamas kuwa njaa,Kiu,Umeme hakuna, Makazi yamebomolewa n.k Miezi imeshatimia 10 baada ya kujamiiana mimba huchukua miezi 9 mtoto anazaliwa. so jamaa wanagongana ngozi nyakati za vita ili kufidia magaidi waliouwawa au? wanapata wapi huo muda? Miarabu Gaza haitaki kufanya kazi wao ni kutaka misaada na kazi yao kubwa n kudinyana tu... Ndio maana Dini yao inasema Peponi kuna wanawake wengi kuliko wanaume 70 kwa moja kudadeki wastani huo
 
Israel ya sasa huruma imezidi ingekuwa ni ile Israel ya zamani hao wapalestina hadi leo wangeishauliwa zaidi ya milioni moja, wana bahati sana na washukuru Mungu.
 
Mi ninachokijua baada ya kupita Ile miaka ya machafuko ya kisiasa kwa Sasa waarab na dini yao ndio chanzo kikuu Cha machafuko duniani
 
Huna hoja za maana za kuzungumzia hapa zaidi ya umepata kibando chako na umeshadanganywa na mchungaji huko mbwinde unaongea tu
UNajua maana ya neno genocide? Unajua israel kaua kwa makusudi wapalestina wangapi hadi sasa? Umaweza kupiga bomu hospital au shule kisa unasema unawaua hamas? Unajua kwa nini waziri wa vita wa israel alijiuzulu? Umefuatilia case ya israel icj na ya netanyahu icc
Embu uww unafuatilia international iaaues kabla ya kuongea upupu humu
Hamna genocide katika vita dhidi ya ugaidi.
Sema miarabu inajua kujiliza inaposhughulikiwa, halafu sasa ndio inaongoza kwa uchokozi
 
Back
Top Bottom