Video: Yadaiwa Samaki Mtu (Nguva) aonekana ufukweni

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Wakuu!

Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika.

Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.

Your browser is not able to display this video.
 
hao viumbe ni majini...
 
Na nywele kaweka dawa kabisa
 
Inawezekana imeeditiwa kwa maana teknolojia ilipofika ni mbali...

Mtu anaweza kukaa hata masaa Matano kwenye laptop akiedit video ya sekunde 10 kusudi tu apate Reel yenye viewers Milioni 5

Kwa Video editing apps leo hii sishangai nikiona video kama hii na ukaambiwa ni kweli...

Kwa wale wanaotembelea Tiktok watanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…