Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Me nishawai kusikia kua hao ni makini . Na wanasura mbaya sanWakuu!
Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika.
Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.
Naomba mwenye utaalamu wa kuipakua video iliyopo Instagram aipakue alafu atuwekee hapa
Link ni hii>>Samaki Mtu " Nguva' Adaiwa kuonekana ufukweni. Zamani ilikuwa hadithi Ila sasa Kama inakuwa kweli See this Instagram video by @:
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app