Video: Yadaiwa Samaki Mtu (Nguva) aonekana ufukweni

Video: Yadaiwa Samaki Mtu (Nguva) aonekana ufukweni

Ukiamini hiyo kuna daraja jipya Salenda nakuuzia [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

😀😀😀😀

Usiseme hivyo Mkuu!!
Hofu yangu ni ufupi wa video na Kwa nini hawajatoa nafasi kumuonyesha Sana usoni.

Hapa ndipo nitakapouziwa daraja la Salenda
 
Kuna mwaka niliwahi soma makala kuhusu samaki nguza Ktk gazeti la mwananchi , nikagundua wengi mitaani tunapigana kamba.
 
Mbona hana tako kwaajili ya matumizi kwani unaweza kumla au,?
 
Iyo sio Editing Because of day light and real shadows. Ni something reel ether by physical setup for filming
 
Wataalamu WA IT watujuze hiyo Video ina-editing au ni tukio la kweli
Kwa sababu niliwahi kushinda studio, cha kwanza kwenye kitu ninachoona kina kutoeleweka kwa jamii hasa picha au video, huwa nazoom kujiridhisha.

So kwa hii kitu is just edited sababu pale kiunoni panapogawa viwiliwili kuna walakini huwa mgawanyo auanzi au kuisha kwa mabakabaka alafu kapigwa rangi black as black mamba, wakati tunajua asilimia ya kubwa ya vitu vyenye uhai majini vinatakatishwa na maji, why huyo mdudu awe black hivyo?.
 
i concur with you
 
Huyo ni mtu kajiingiza kwenye mdomo wa samaki aonekane nguva

Jiulize Sasa kama huyo ni nguva kwanini samaki ametia yaani kwanini samaki Ana mdomo?
 
Back
Top Bottom