njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kazi na dawa, mabingwa watarajiwa wa kombe la klabu bingwa afrika mwaka huu ambalo litawapa tiketi ya kwenda kuwakilisha bara hili la giza kwenye FIFA club world cup , Yanga sc walikula bata la kutosha na bendi ya malaika music band huko kigoma kabla ya mechi yao na Ruvu shooting iliyoisha kwa sare ya 0-0
Hivyo ndivyo team za kisasa zinavyoishi siyo kuwafungia wachezaji kambini kama kuku
Hivyo ndivyo team za kisasa zinavyoishi siyo kuwafungia wachezaji kambini kama kuku