AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Hivi kwani kufanya ngono ni jambo jipya duniani au ni ajabu kwa hiki kizaz kwamba limepitwa na wakati?
Shida ipo kwa wanaovujisha na kuzisambazo mtandaoni hasa wewe ulieenda kuzitazama bila shaka ulikua ukiisubir kwa hamu ahadi ya Mange kutimia.
Mpaka nafika hapa sijawah tazama connection ya mtu yeyote nchi hii ni kwa sababu nimeamua kupuuza na kutofuatilia Mambo ya kawaida ambayo hata mimi nafanya karbu kila siku.