Tumalize kwanza kuokoa wahanga waliokwama kwenye kifusi.Ujenzi unaofanyika kko ni uchafu tu.....na mamlaka wao wanatizama tu
Tunajuwa rushwa inatumikaa sana
Na kwa style hii tutazidi kufukiwa na vifusi na tutazikana sana
Ova
Yaan, jamaa kaamua kuifuata danger. yaan askari mwenye mafunzo yupo anashangaa shangaa, jamaa anasema tenda wema usingojee malipo.Tz mashujaa ni wakina dotto magari mwijaku stv nyerere babl3vo na wakata maunooo na hao ni washauri wa vionogozi wanakuwa nao π
Ova
Kama taifa,Ww unakuja kuleta siasa humu. Tumeziona picha asilimia kubwa watu wa kariakoo wamesaidiana wenyewe kwa wenyewe kuokoana
Siyo kila kitu ni kusifia tu,kuna mambo mengine unaweza kunyamaza tu kama huwezi kutoa maoni tofauti ili usionekane mbaya na waajiri wako wanaokulipa kwa kila post na comments unazochangia,hutopoteza kitu kuliko kuandika ujinga wa kusifia kila kitu, unakera sana π wewe.angekua ni kiungo cha ubishi gentleman,
Rais ameshatoa maagizo na maelekezo muhimu sana kwa kamati ya maafa Kitaifa kama ambavyo pia hufanya vivyo hivyo kwenye ajali na maafa mengineyo nchini.
Kumbuka,
Kamati ya maafa Kitaifa inaongozwa na Kasimu Majaliwa, waziri Mkuu ambae yuko field kupitia vyombo vya ulinzi na usalama..
huku kazi ya uokozi ambayo inafanyika kwa umakini mkubwa ikiendelea kufanyika kwa weledi na bidii sana.
Mola atujaalie subra na wepesi katika kufikia hitimisho jema juu ya jambo hili.
Vyovyote itakavyokua, kama Taifa lazima tusonge mbele pamoja π
Kuna majengo kkoo ukiyaangalia yakiwa skeleton unajua kabisa ipo siku litashuka
mihemko na ghadhab ni useless na completely nonsense kwenye maafa gentleman πMbona unaongea yasiyo na tija ww chawa baridi
Hasara sana kuwa na Kiongozi chawa wa aina hii
Samia??????
Wana jf tungepewa fursa ya kuonana kila mara ningekuwa nakuchapa hadi utando wa uchawa na ukada ukutokeYes,
Maelekezo ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kamati ya maafa ya kitaifa na mkoa yamechochea kwa kiasi kikubwa shughuli ya uokozi.
Mh.Rais aliamrisha na kuelekeza kwamba, vyombo vyote vya ulinzi na usalama pamoja na wataalamu wao vilekee eneo la tukio.
Nadhani sote ni mashuhuda wa kazi nzuri iliyofanywa kwa amri ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.
Tunamtakia safari njema nasi kama taifa tutaendelea kutekeleza maelekezo yake na kuhakikisha wale wote walioko chini ya kifusi, kwa Neema na Baraka za Mungu, wanapatikana wakiwa hai π
sasa si ungenyamaza kimya tu gentleman?Siyo kila kitu ni kusifia tu,kuna mambo mengine unaweza kunyamaza tu kama huwezi kutoa maoni tofauti ili usionekane mbaya na waajiri wako wanaokulipa kwa kila post na comments unazochangia,hutopoteza kitu kuliko kuandika ujinga wa kusifia kila kitu, unakera sana π wewe.
sasa wewe na kiherahere na mihemko yako, si ungekua unatulizwa kwa makofi na wananchi tu mapema kabisa hata kabla hujaamka ulipoketi?π€£Wana jf tungepewa fursa ya kuonana kila mara ningekuwa nakuchapa hadi utando wa uchawa na ukada ukutoke
Bure kabisa ni wewe unayedharauliwa kwa kutumikishwa kwa vihela vichache,wenzako wamekaa pembeni wanacheeka jinsi unavyojitoa thamani ya utu wako kwa tamaa ya hela huku mwenyewe ukijiona mjanja kumbe ni bwege wa kutupwa!sasa si ungenyamaza kimya tu gentleman?
kiherahere cha nini sasa kujulisha na kuwaonyesha wadau mihemko na ghadhab zako ambazo ni useless na completely nonsense?π
kwahiyo hapo ndio umejiona mwerevu na huna pwainti yoyote π€£
wewe ni bure kabisa aise
Mwenyezi Mungu anipenda,Bure kabisa ni wewe unayedharauliwa kwa kutumikishwa kwa vihela vichache,wenzako wamekaa pembeni wanacheeka jinsi unavyojitoa utu wako kwa tamaa ya hela huku mwenyewe ukijiona mjanja kumbe ni bwege wa kutupwa!
Mtwana wa Samia na ccm unasikitisha sana.Mwenyezi Mungu anipenda,
hata ukinidharau yafaa nini gentleman, maskini wa Mungu weee.
muerevu mwenye mihemko na ghadhab bila kua na pwainti ndiyo mara ya kwanza nakuona gentleman π€£
Mungu akusaidie sana gentleman π
Hivi huwa huoni aibu kuongea matap tapu?sasa wewe na kiherahere na mihemko yako, si ungekua unatulizwa kwa makofi na wananchi tu mapema kabisa hata kabla hujaamka ulipoketi?π€£