Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Tumalize kwanza kuokoa wahanga waliokwama kwenye kifusi.Ujenzi unaofanyika kko ni uchafu tu.....na mamlaka wao wanatizama tu
Tunajuwa rushwa inatumikaa sana
Na kwa style hii tutazidi kufukiwa na vifusi na tutazikana sana
Ova
Ni kweli,
zipo dosari na kasoro mbalimbali kwenye sekta ya ujenzi nchi, hasa kwenye majengo marefu, makubwa na mazito.
Janga hili la kariakoo litatupatia fundisho na uelekeo mpya katika ujenzi.
Tamaa za watu wachache, kuchimbua nini sijui chini ya majengo mazito, zisituletee maafa na majonzi katika familia na taifa letu.
uzembe katika hili ,iwe ndiyo mwanzo na mwisho kututoa machozi kama Taifa 🐒