digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mimi sio mtoa hoja, acha kukurupuka kijanaUngetumia uwezo huu shule kukariri ungekuwa
Kucheza huo mchezo tayari inatilia shaka kuwa ni profesa na hata kushuka simu ya mwenzako kwa muda inaonyesha mlikuwa grocery ya mzee Kipele pale Ngwasuma.Cha msingi acha hasira, vuta subira utapata ushahidi zaidi kama mkeo ni mwaminifu au la LAKINI jiulize wewe ni mwaminifu kama sio wewe potezea ila ukiona imezidi kafungue shauri la talaka.