Video za utupu wa mwanandoa zakutwa kwa mwanaume mwingine

Hapo ni ajue tu ameamuaje?

Ataamua kusamehe au ndo imetoka.

Sio mambo ya kuumizana.
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
 
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
Mchungaji sijaelewa.
 
Kuna mawili tu hapa

Kumfanya ajue wee mwenyewe mwambie AONDOKE.

kumfanya ajue, ila uaimwambie aondoke, yaaan ,Mtumie hiyo video mkeo.... Usiongee naye kuhusu hiyo video.... Nunua Panga, na ajue umenunua panga., nunua gunia mbili na ajue umeninia magunia mawili , kua bize na simu, ukitaka ongea nasimu toka njee.

Ondoka asubuh, rudi jion... Utamkuta keshaondoka.
 
Wala hiyo sio dawa ni kujidanganya tu!!hata umpelekee moto hadi ichanike chanike bado ikipona ataipeleka kwa jamaa tu kama hiyo ndio tabia yake!!
Tena anapelekewa jamaa tu ambae hata hatumii nguvu yan yeye anaipiga deki taratiiiibu tu had anamkojoza demu, tuishi nao kwa akili tu
 
Msioe ma baa medi hamsikii
 
Mwambie likahanga aipeleke tcra

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yaani sura ya mwanamke haionekani bali jamaa kagundua tu uchi ule ni wa mkewe ...duuuu hii kali
 
Kesi hamna hapo mkuu
 
Unaona ulivyo kituko.kwamba wanawake wanachepuka kisa waume zao hawana nguvu za kiume!!!!mawazo mgando
Ni tamaa tu. Jamaa yangu hapigi kimoja. Kanuni yake ni 2 au zaidi. Halafu hawez kumaliza wiki bila kungonoka. Lakini mkewe ndo huyo sasa.
 
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…