Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Zitto Kabwe hataki kuzungumzia sex life yake.
Hakuna kosa katika kukataa kuulizwa kuhusu sex life yako.
Very interesting question. Sijawahi kuulizwa hili swali.
Poppy Hatonn,uko tayari kusema kwamba unapinga ushoga.
Niseme tu, huko Vatican maaskofu wanabishana kuhusu ushoga wamekaribia kupigana ngumi.
Nadhani jinsi ya kumuuliza mtu,ni kusema,"Kama mvulana anataka kutafunwa,una neno gani la kumwambia? Kama mwanaume anataka kumtafuna mwanaume mwenzake,una neno gani la kumwambia? Kama wanaume wawili wamejifungia katika chumba na unashuku wana nia mbaya,utawaacha waendelee au utaenda kuubamiza mlango kuwataka wafungue mlango?"
 
Kama alimjibu hivyo,alikwepa swali.Swali lilikuwa kama anapinga ushoga au la.Halikuwa kama anaheshimu faragha za watu au la.
 
Yuko sahihi.

no, yuko vuguvugu, hivyo ni opportunist, ni aidha unapinga homosexuality kwa sababu uko upande wa Mungu au unakubali homosexuality kwa sababu you are Godless, hii ishu haina uvuguvugu, zito kabwe yuko vuguvugu sababu anaogopa kukasishirisha wayahudi ambao wanatesa waislamu wenzake hata hivyo lkn anapenda $$$ zao wanazompa, hafiki mbali kwa uvuguvugu, he is corrupt, period!
 
Rais mwenyewe kuhusu ushoga alishamaliza kila kitu, shida wananchi hawataki kuelewa.

Ndo ishapitaaa hiyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama alishatuambia TUPAKUANE watu wazima kwa watu wazima. Tuache watoto tu.

Nani kama MAMA! NASEMAJEEE, NASEMAJEEE, HAKUNA KAMA MAMA, Ni mwendo wa kupakuana vijambio bila bughudha.
 
Acha upumbavu. Ushoga ni unnatural offence. Kwani hata hii penal code tumeirithi toka India kwq nia njema. Pumbafu

Mbona swali lipo straight alafu anajibu naheshimu faraga za watu..huyu ni mkxndu anaunga mkono ushogo..ajibu ndio au Hapana..Baadhi ya wafrika bhana kama mavi tu..hata mauwaji,uchawi na ubakaji yanafanyika faraghani..kwa hiyo nahayo anaheshimu kwa mujibu ya majibu yake..watu kama hawa wanatia hasira..hapo anajiona ana akili alivyojibu hivyo.
Nenda ukajibu wewe unavyotaka! Yeye ndo kashajibu hivyo, kama unaumia kata rufaa kwa mwenezi wa chama UTATATULIWA shida yako.
 
ni aidha unapinga homosexuality kwa sababu uko upande wa Mungu au unakubali homosexuality kwa sababu you are Godless, hii ishu haina uvuguvugu
Hakuna cha Godless hapo, tumechoka mapropaganda yenu.

Wacha watu WABAMIZWE VINYEO kwa raha zao, kama unaona gere na wewe jiunge UTAFUNWE.

Hatutaki tena MAHADITHI YA KUFIKIRIKA, ni ama unataka kufirwa au hutaki kufirwa unapita kushoto. SIMPO.
 
Back
Top Bottom