Uchaguzi 2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

Uchaguzi 2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura

Huku watoto wakiwa kwenye uniform za shule wanafundishwa namna ya kumpigia kura Magufuli.

Tunaitaka NEC ije iuelezee umma kama iebariki mchezo haramu kama huu kwenye chaguzi zetu.

Hayo yanafanyika huku NEC ikiwa imeruhusu kutumia vitambulisho ambavyo kimsingi si vya mpiga kura kuweza kupiga kura. Kwa maana hiyo, hata yakichapishwa majina ya wasio na vitambulisho vya mpiga kura yakawekwa kwenye orodha kwenye vituo halali na feki ni rahisi kwa wenye vitambulisho vingine kwenda na kupiga kura kwenye vituo hivyo hata zaidi ya mara moja

Tazama video ua Zungu akirubuni watoto kumpigia kura Magufuli.

 
Back
Top Bottom