Uchaguzi 2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

Uchaguzi 2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

Chadema mtalia lia sana.Kama wamefikisha umri wa kupiga kura ni haki yao
 
Unless kama kuna sheria inazuia wanafunzi kuropiga kura lakini Sifa kuu ya mpiga kura ni umri. Awe na miaka 18 au zaidi haijalishi ni mwanafunzi au la. Mawakala wana wajibu wa kuhakiki umri wa mtu anayekuja kupiga kura. Kama Zungu anavyotoa elimu ya upigaji kura nao wapinzani watoe elimu kwa mawakala wao.
 
Anafanya kampeni ya nyumba kwa nyumba,taasisi kwa taasisi,masokoni,stendii ya basi,nk na kutoa elimu ya karatasi ya kura ilivyo,namna ya kupiga kura. Amewaambia unaweka tiki box la mwisho kwenye karatasi.
 
Shame...
#twende_na_Rungwe

Everyday is Saturday............................... 😎
 
wazazi wa hao watoto wachukue hatua haraka sana. huu ni ushenzi.
 
dawa ni kuwapiga hao wanafunzi maana twawajua
 
Back
Top Bottom