Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Alafu wana-record video na kuisambaza bila aibu wala woga.Hii ni jeuri iliyopitiliza.Democratic Republic au Monarchy tumefikaje huku
CCM na Serikali yake imepoteza Ridhaa sasa Walosema Chadema kimekufa si ndio hao akina ZunguAlafu wana-record video na kuisambaza bila aibu wala woga.Hii ni jeuri iliyopitiliza.
Hii video huenda imevujishwa?Kama wameitoa makusudi,basi tujiandae kwa uhuni wa kupitiliza katika huu uchaguzi.NEC Kimya Sana, Wako Kwenye Usingizi Mwingi
Hii clip huenda imevujishwa!Duh tumekwisha
Haya yatakuwa na baraka za Bwana yuleHuyu Zungu ni kawaida yake kushiriki michezo michafu kinyume cha sheria, mtazame hapa:
Video ya siri imevuja ikimuonesha Musa Zungu akitoa rushwa
Lengo ili Zungu aonekane anampigania Magufuli ili apewe uwaziri kama Magufuli atatangazwa?Hii clip huenda imevujishwa!
Wamenyimwa akili na maarifa ili utawala wao uanguke huku wenyewe wakiwa hawaelewi.Lengo ili Zungu aonekane anampigania Magufuli ili apewe uwaziri?