Uchaguzi 2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

Si ajabu wanafunzi wamepatiwa kadi za mpiga kura!
 
Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura..
Amekabidhi akili zake kwa mwenyekiti wao huyo!! sasa hapo kuna wapiga kura kweli??
 
2 Samweli 2:12 , Maana wewe ulifanya jambo lile kwa siri; bali mimi nitalifanya jambo hili mbele ya Israeli wote na mbele ya jua.

Mungu hadhihakiwi atawafichua tu hawa wahuni wote.
 
Kuna tetesi kua bwana huyu anagawa Mlungula wa kutosha kwa hawa wanafunzi kutaka kuongeza kura haramu za uongo. Zungu anajua kabisa kua vijana hawa wakati wa kujiandikisha kupiga kura wengi walikua hawajafikisha umri wa kupiga kura na wengine mpaka sasa bado hawajafikia umri huo.

Twaiomba TAKUKURU kupitia shule zote alizopata Zungu ambapo kuna tetesi kua amegawa mlungula. Tunaomba hatua stahiki zichukuliwe juu ya hili hatutaki mzaha wa ajabu ajabu kiasi hiki. Wagombea ubunge wa vyama viingine chukueni hatua stahiki dhidi ya huyu bwana.
 
Hauwezi kuzuia wanafunzi wa form six kupiga kura wengi wao wanefikisha miaka 18 changamoto kwa chadema ni kwamba ccm wanayo access ya kuwapata wanafunzi hao.lalamikeni mkimaliza tunajambo letu asimilia zaidi ya 84.
 
Labda ni mimi pekee ambaye sijaelewa, hapo tatizo nini?
 
Tusilalamike tu, nafikiri hao wanafunzi ni wanachama wa CCM, hivyo ni sahihi kuwaelekeza wanachama wao namna ya kupiga kura!
Hivi kwa level ya mwanafunzi wa kidato cha 6 unaweza ambiwa upuuzi huu km ww sio mwanachama wao!

Naomba nitumie lugha mbaya sana machoni na masikioni kwa wengi. Hizi ndiyo takataka tulizokuwa nazo mashuleni na vyuoni siku hizi!

Miaka ya 2000 nilipokuwa kidato cha 6, wagombea ubunge walikuwa wanaogopa kufika shuleni kwetu kufanya kampeni kwa sababu ya kupigwa maswali mgumu, Yes, by that time kidato cha 6 tulikuwa tunajenga hoja kweli kweli. Mbunge Chenga kama Zungu asingeweza fika shuleni kwetu!

Kama ningekuwa ni mimi kwa wakati ule, ningemwuliza huyo Zungu, unatufundisha namna ya kupiga kura au unatupangia mtu wa kumchagua?

Baada ya hapo ningetoka kwenda hotel nikalale au ningekwenda darasani.
 
Hauwezi kuzuia wanafunzi wa form six kupiga kura wengi wao wanefikisha miaka 18 changamoto kwa chadema ni kwamba ccm wanayo access ya kuwapata wanafunzi hao.lalamikeni mkimaliza tunajambo letu asimilia zaidi ya 84.
Jamaa wanaweweseka na siku zimebaki chache.
 
Ndo shida ya hawa wasenge CCM.. Yaan uchama wao wanaouletavhadi kwenye mambo ya kiserikali.
sasa mwaka huu mmekwisha wasenge wote nyie..
Lissu lazima ashinde
 
Voda Wamezuia neno Tundu Lissu lisitoke kwenye SMS , we ngoja
 
Swali ni je? Upinzani wanaweza kupewa access ya kwenda kuomba kura mashuleni? Ikiwa mikutano ya mitaani tu wanapigwa mabomu. Kama kuna wanafunzi wamefikisha miaka 18 basi haki wapewe wagombea wote kwenda kuomba kura kwa wanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…