Well said, lengo lao ni hilo hasa wala hakuna kingine - wanapenda penda sana ku-brain wash watu kwamba the World is the USA mataifa mengine ni vilaza tu hamna kitu - kwa bahati mbaya kuna baadhi ya waswahili wana amini ulaghai huo wa kijinga.
Mtu na akili zake timamu anakujia na habari za ku-copy tu kutoka kwa maadui wa Iran zenye lengo la kutaka kuonyesha Dunia kwamba Iran si lolote si chochote - mnajua kwa nini? Sababu inatokana na mafanikio ya Drones za Iran kuteketeza kirahisi silaha za magharibi wanazo pewa Ukraine, hicho kimewauma sana sana wazungu ndio maana vyombo ya habari vya magharibi wamebuni mbinu za kutaka kuichafua Iran kwa stori za kitoto kwamba wanaiba/nunua components kutoka mataifa ya magharibi ili waweze kuunda kamikaze Drone, lengo ni kutaka kuhirabia sifa Iran kumbuka kampeini chafu zilizo kuwa zinatumiwa na Merikani kuisema vibaya vifaa vya mawasiliano vya 5G vya kampuni ya Huawei vilivyo kuwa vinaundwa huko Uchina. Swali hapa ni,je, kuna dhambi gani kwa Iran ku-out source some of her components kutoka popote Duniani, kwani tatizo liko wapi - hivi ni taifa gani linalo jitegemea kwa asili mia mia - hakuna.
Wanacho nishangaza zaidi ni pale wanaposema kwamba Iran na Urusi wanatumia components za micro wave na washing mashines kuunda missiles na Drones - ulaghai mtupu! Adithi kama hizo wanaweza labda kuwadanganya watu ambao hawaja wahi kusomea masuala ya Solid State Physics na VLSIC design - semiconductors zote zinazo kuwa manufactured kwenye foundry zote Duniani ziwe aidha in form of micro chip au descret zote zinakuwa ni type mbili tu nazo ni: analogue na digital basi - designer yeyote wa aidha consumer electronics systems, military au medical instrumentation wanakwenda kununua kutoka kwenye open market, what counts is what you really want for your project - sasa haya madai ya kusema eti Warusi na Iran wanachomoa/cannibilise micro chips kutoka kwenye micro wave ovens na washing machines habari hizo niza kipuuzi kabisa, hazina mantinki hata kidogo.
Jaribu kufungua consumer electronic system yoyote iwe: TV, Music System, Computer,Washing machines, Microwave etc, je, semiconductors karibu zote zinaundwa kutoka nchi gani Duniani - nyingi tu na wala sio Merikani tu. Vile vile utakuta microchip nyingi na descret components zimetumika kwenye chombo zaidi ya kimoja, what does that tell you?