Vifaa made in Israel vyakutwa kwenye Drone za Iran

Vifaa made in Israel vyakutwa kwenye Drone za Iran

Mkuu kuna mada fulani kitambo nilikuwa naona unaandika point fulani zinaeleweka ila kwa hili umefura mno yaani umevaba mno na umeweka pumba za kufa mtu...

Kwanza : Good unajua mtu akiunda kitu sifa ni muhimu au inabidi apewe heshima yake maana ugunduzi mpya ndio kitu ambacho ni adimu kwa binadamu na mtu akigundua kitu basi ujue imetumika akili ya ziada ndio maana anapewa sifa kedekede...

Iran alipokuwa anatengeneza Drone alijisifia mno mno mno sana... na kila mmoja wetu alisema ewaa Dunia imepata wanasanyansi mahili kwa maendeleo ya Dunia na vizazi vyake...

Pia inabidi uelewe katika wana sayansi mahili duniani ni wachache sana na wengi kazi zao huwa ni za siri mno na wanaziwekea hati miliki kazi zao even Coca cola formula yao ni siri kubwa. so hizo components Iran haiwezi tengeneza yenyewe na haitokuja kuweza kamwe... Wana sayansi mahili duniani ni wachache sana na wapo kwenye nchi chache sana duniani so ukishawekewa ban inakula kwako zaidi utuie third party.

Iran majigambo yake ya kujitegemea ni ulaghai na tatizo humshirikisha Allah.. Sheria za Iran ni kali sana na na ingekuwa kuna raia anafanya magendo kuingiza parts za utengenezaji wa aina hizo za Drone na vifaa vya kivita angenyongwa mara moja... lakini serikali yeyewe ndio inaruka vikwazo na kushiriki katika kusupport uundwaji wa silaha...

Unapoongelea eti Warusi wanatumia components na chip za Microwave usikatae wanaozungumza ni proffessional na sio wewe mnywa togwa wa Tz so unataka tuwaamini wao au wewe?... Kuna vifaa maalum ukiuziwa na hizo kampuni wanaweka records sababu ni kampuni za kimataifa na hazideal na magaidi wenye nia ya kuumiza watu kwa kutumia akili za mtu mwema ndio maana Iran kawekewa Vikwazo sababu Serikali yake ni ya kigaidi na ipo wazi kwa hilo tokea ilipomwaga damu na mapinduzi haram ya kuiondosha Serikali halal ya Shah wa Iran.

China kitu walichogundua ni wireless na hizo sifa hawajawahi kunyimwa na hazina doubt.
Ovyoooo
 
Dogo unapenda sana kunifuatilia. Nenda kwa waarabu wakuoe kama unatafuta mume maana mimi mashoga siwataki, wanawake wananitosha.
Siku zote mtu kile akifanyacho huamini kua na wenzake hua wanafanya kama yeye..kumbe wewe ni Choko eeh..

Unakashifu imani za wengine halafu unyamaziwe? Utakaa sawa tu.
 
Siku zote mtu kile akifanyacho huamini kua na wenzake hua wanafanya kama yeye..kumbe wewe ni Choko eeh..

Unakashifu imani za wengine halafu unyamaziwe? Utakaa sawa tu.
Mimi huwa nawaambia ukweli maana hata mudi alikabwa na kutendwa kule mapangoni. Ni mambo yenu hayo.
 
Nimeona pia Japan hapo sijui na wao ni wazungu , an't sure [emoji23][emoji4]
Ukiwa mjanja utaelewa kirahisi nilichomaanisha. But si mbaya nikueleweshe kws kawaida tunaposema wazungu kwenye nyuzi Kama hizi tunamaanisha wamagharibi wote na wale inaofungamana nao.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwenyewe niliwaza sana wapi akili watoe hao majahidina?
Wewe unawazidi nini au mzungu akiwa na akili nawewe unajiita unaakili!
Je wewe unweza kuunda hata baiskeli hapo ulipo, haya basi unaweza hata ku copy?
 
Mimi huwa nawaambia ukweli maana hata mudi alikabwa na kutendwa kule mapangoni. Ni mambo yenu hayo.
Wewe utakua ni mtu choka mbaya uliyejikatia tamaa ya maisha,bila shaka upo kwa shemeji yako hapo kila siku unalala sebuleni na kusikia miguno yao kila siku usiku.
 
Wavaa kobazi hawawezi mambo ya teknolojia, wao wanaweza kupiga adhana na kujilipua ili wawahi mabikira huko kwa allah.

Iran siyo waarabu, wale wanaitwa Persians. Waliwahi kuwa Taifa lenye nguvu duniani. Hata Assyria pia.
 
Upo right but huwa hajitapi kwa hilo... yupo open and unapoweka component za mtu mwema zifanyie kazi za wema... hivi Utengeneze tasbii zako na ukazigawe msikitini kisha mimi namfuata muumini aniuzie kisha naenda kuwavisha nguruwe and then nawapiga picha nazisambaza tena Tasbii zinasomeka kabisa zimetengeneswa na Ustaadhi... utajisikiaje hapo ukijaziona hizo picha na unajua kabisa zile ni tasbii alizotengeneza ustaadhi Tongwe! na hukunpa mimi wala kuniuzia directly.. sasa hizo kampuni za vifaa zinavyojisikia kuona drone za Iran zinajaa vifaa vyao and Drone zinaharibu miundo mbinu na zinachukua maisha ya raia wasio na hatia Ukraine.

Hili Suala la Putin kupendwa na Maustaadhi sijui chanzo chake haswa...
Puttin anapendwa na wote waliochoka uonevu wa USA na NATO kwahyo Ile kanuni ya adui wa adui Yako ni rafiki Yako inahusika
 
Dogo unapenda sana kunifuatilia. Nenda kwa waarabu wakuoe kama unatafuta mume maana mimi mashoga siwataki, wanawake wananitosha.
Mashoga huwataki huku unashabikia nchi ya mashoga
images%20(21).jpg
 
Well said, lengo lao ni hilo hasa wala hakuna kingine - wanapenda penda sana ku-brain wash watu kwamba the World is the USA mataifa mengine ni vilaza tu hamna kitu - kwa bahati mbaya kuna baadhi ya waswahili wana amini ulaghai huo wa kijinga.

Mtu na akili zake timamu anakujia na habari za ku-copy tu kutoka kwa maadui wa Iran zenye lengo la kutaka kuonyesha Dunia kwamba Iran si lolote si chochote - mnajua kwa nini? Sababu inatokana na mafanikio ya Drones za Iran kuteketeza kirahisi silaha za magharibi wanazo pewa Ukraine, hicho kimewauma sana sana wazungu ndio maana vyombo ya habari vya magharibi wamebuni mbinu za kutaka kuichafua Iran kwa stori za kitoto kwamba wanaiba/nunua components kutoka mataifa ya magharibi ili waweze kuunda kamikaze Drone, lengo ni kutaka kuhirabia sifa Iran kumbuka kampeini chafu zilizo kuwa zinatumiwa na Merikani kuisema vibaya vifaa vya mawasiliano vya 5G vya kampuni ya Huawei vilivyo kuwa vinaundwa huko Uchina. Swali hapa ni,je, kuna dhambi gani kwa Iran ku-out source some of her components kutoka popote Duniani, kwani tatizo liko wapi - hivi ni taifa gani linalo jitegemea kwa asili mia mia - hakuna.

Wanacho nishangaza zaidi ni pale wanaposema kwamba Iran na Urusi wanatumia components za micro wave na washing mashines kuunda missiles na Drones - ulaghai mtupu! Adithi kama hizo wanaweza labda kuwadanganya watu ambao hawaja wahi kusomea masuala ya Solid State Physics na VLSIC design - semiconductors zote zinazo kuwa manufactured kwenye foundry zote Duniani ziwe aidha in form of micro chip au descret zote zinakuwa ni type mbili tu nazo ni: analogue na digital basi - designer yeyote wa aidha consumer electronics systems, military au medical instrumentation wanakwenda kununua kutoka kwenye open market, what counts is what you really want for your project - sasa haya madai ya kusema eti Warusi na Iran wanachomoa/cannibilise micro chips kutoka kwenye micro wave ovens na washing machines habari hizo niza kipuuzi kabisa, hazina mantinki hata kidogo.

Jaribu kufungua consumer electronic system yoyote iwe: TV, Music System, Computer,Washing machines, Microwave etc, je, semiconductors karibu zote zinaundwa kutoka nchi gani Duniani - nyingi tu na wala sio Merikani tu. Vile vile utakuta microchip nyingi na descret components zimetumika kwenye chombo zaidi ya kimoja, what does that tell you?
Russian wenyewe wanajua wanategemea tech ya Western country alafu wewe unaleta ujinga wa kulazimisha. Wasikilize na usome subtitle.. hata simu hawatokuwa nazo tena
 
Mimba ya chuki za kiimani aliyobeba imepevuka,anajamba chuki tu kufikiri kashindwa
Bora uislam madhehebu ya shia kuliko uislamu wa madhehebu ya Sunni. Bora kuhiji Najaf kuliko Mecca. Bora the Imam kuliko the prophet.

Hupooo hapo?
 
Ndo kazi ya majasusi hiyo. Hapa cha kujiuliza ni namna gani mossad wanashindwa kufanya kazi yao hadi vitu sensitive kama hivi vinaishia mikononi mwa adui
 
Kama ni hivyo Iran ni mafia sana,vifaa vya nchi mahasimu wake anaviunganisha alafu anauza kwa Rusia!
 
Ndo kazi ya majasusi hiyo. Hapa cha kujiuliza ni namna gani mossad wanashindwa kufanya kazi yao hadi vitu sensitive kama hivi vinaishia mikononi mwa adui
Wamajua ila biashara lazima ifanyike bidhaa wanawauzia watu wengine na hao watu wengine ndio wanavipeleka Iran na Iran procurement team yake ni kubwa karibu dunia Nzima ikiwepo Tanzania yenye uranium
 
Back
Top Bottom