Sawaaa,
1.Deputy IGP...Mbona sioni hapo au nachanganya?
2.Kaniki alikuwa Deputy wa Mangu,na juu ya Sirro,ni sawa IGP mpya kupiguwa salute na Kaniki?..ufafanuzi..
Mapolice wote wangekuwa kama Mh siro aiisee tungekuwa mbali sana na tungefanya kazi kwa waledi. Na nampongeza sana Mh. Rais kwa kumteuwa kamanda siro namkubaoi sana na nazani Yale mauwaji ya kule Pwani yataisha tu.