Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

Kumbe ata ile mistari ya kwenye mikono ina maana. Nimeipenda
 
Faru fausta,
Nimeshangaa kwenye "V', kumbe kadri zinavyozidi kuwa nyingi, cheo nacho kinapungua !!! Mimi nilithani mwenye "V" nyingi ndiye Mkuu. Hebu angalia namba 14 na 12 !!
 
Nimeshangaa kwenye "V', kumbe kadri zinavyozidi kuwa nyingi, cheo nacho kinapungua !!! Mimi nilithani mwenye "V" nyingi ndiye Mkuu. Hebu angalia namba 14 na 12 !!
Nenda descending order upo sahihi mwenye v moja ni mdogo kwa v mbili etc soma vizur
 
Siro hapo kabla alikuw rank gani?? Maana naona ameruka vyeo kibao hadi kufikia IGP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…