Vifaranga vya kuku vimekufa vyote tatizo ni nini wengine hata vichwa hawana

Nimeingia bandani na kukuta hali hiyo nimechanganyikiwa kabisa
Uza kwa bei ya hasara wanaonunua hawaulizi kilichopikwa kilikufakufaje, fungua kabanda kako hapo choma nyama zako usifukie mtaji

Huku nilipo akifa ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku, bata hawafukii wanachinja wanauza suala la kibudu au sio kibudu atajuaje mlaji mwenye njaa
 
Kagua banda kama kunamatobo yanayoweza mdudu au mnyama apite.
Mwisho nakushauri jioni tembelea wale akina mama wanaouza vichwa, miguu na utumbo wa kuku, ukimuona anaona aibu kukuangalia usoni ujue ndiye mbaya wako.
Kumbe na vifaranga vichwa vya ni bei mbaya hivyo mpaka waizi wanaacha viwiliwili ?
Kama ni wizi wa kuku basi ni vijana lakini kina mama huwa wanasubiri waletewe tu
Mimi nilifuga najua
Hao vifaranga wameliwa na mnyama tu
 
Uza kwa bei ya hasara wanaonunua hawaulizi kilichopikwa kilikufakufaje, fungua kabanda kako hapo choma nyama zako usifukie mtaji

Huku nilipo akifa ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku, bata hawafukii wanachinja wanauza suala la kibudu au sio kibudu atajuaje mlaji mwenye njaa
Kifaranga kilichokufa anakiuzaje?
 
Kumbe na vifaranga vichwa vya ni bei mbaya hivyo mpaka waizi wanaacha viwiliwili ?
Kama ni wizi wa kuku basi ni vijana lakini kina mama huwa wanasubiri waletewe tu
Mimi nilifuga najua
Hao vifaranga wameliwa na mnyama tu
Ipo biashara ya vichwa, miguu na utumbo wa kuku tu, hawa hawauzi mapaja wala sehemu nyingine ya kuku.
 
Back
Top Bottom