Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Chicken and Chips chakula cha kunasia vibinti.Naelewa boss, ila umeona amesema ni vifaranga?
Hapo nilikuwa nasubiri je ipo?
Kuku najua
Chicken ni kifaranga na bahati mbaya muhusika hakutaja umri kama ni vigoli au mabinti, mimi nilidhani watakuwa wamekwisha vunja ungo.
Tangazo: TUNAUZA VIFARANGA VYA NYAMA VYENYE UZITO WA KILO MOJA NA NUSU.