Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Ukisikia uchawi wa mchana kweupe ndiyo huu, Wewe ulifanya kuchukua hatua gani!
 
Kama haukuwa mbali na eneo la ajali ulishindwaje kwenda kuivuta wewe.
 
Tatizo lenu humu jamiiforums ni ujuaji kupitia kiasi,jitu liaandika kama lilikuepo ndani ya ndege [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Umeshaniharibia siku. Sijui nini kimenisababisha nikafungua huu uzi. Mods ondoeni huu uzi au mimi nitukane mnipige burn nisione huu utopolo
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Huna unalojua wewe,punguza ujuaji.

Bandiko la hovyo kuwahi kutokea.
 
Moja ya post za hovyo kabisa katika historia ya Jf
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Wewe jamaa akili zako unazijua mwenyewe. Hebu msikilize huyu kijana akimtaja muuaji 👇
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Nina mashaka na maelezo yako, kilichomomonyoa ile nose ya ndege ni nini? Ukitaka kutuaminisha hilo tuhskikishie kwenye matoleo ya tairi ni water proof maji haingii lakini pia kule mbele kulikuwa INTACT....

Usije kuleta maelezo kumbe ni ASSUMPTIONS na SIYO FACT BASED!!!!

Swali la pili: Rubani amefanya attempt kadha za kutua na amefanya mawasiliano LAKINI MPAKA NDEGE INAZAMA MAJINI MBONA HAKUKUWA NA MAANDALIZI YOYOTE YA UOKOZI???

Kama mpaka Raia wanafika hakuna chochote inakuwa sasa hivi unatueleza haya?
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.

Wewe utakuwa chizi.

Ebu sikiliza hii clip.

Kijana wa hovyo kapewa ajira baada ya kusababisha vifo kwa kubomoa mlango wa ndege. Daah! Hatari Sana!!!
 
Popoma kweli kweli mtoa mada, kwa ndege ilivyoharibika chini unadhani asingeliufungua mlango maji yasingeingia, shirikisha ubongo kablavya kuongea.[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mi sina akili ila wewe huna akili to the maximum.
Ni popoma kabisa.... Ukiangalia pua ya ndege imeisha kabisa halafu MJINGA MOJA ANASEMA MAJI YALISUBIRI MLANGO UFUNGULIWE!!!😭😭😭😭😭😭😭

Jamani siyo lazima kila mtu apost...
 
Kitaalam? Unasemaje KUHUSU ILE PUA KUMOMONYOKA VILE HALAFU MAJI YASIINGIE?

Kama ndege haikuingia maji ilikuwaje ikazama na watu wakajazana mlangoni wakipbania kufungua??

Vipi wale waliokufa kwenye mikanda?

Kwanini Rubani amwombe kumsaidia kuvunja mlango?

Kama mawasiliano yalikuwepo muda na management ya uwanja, ilikuwaje wavuvi wakawa first respondents na sii wataalam wa uokozi?

Mleta mada kaleta pumba TU HAKUNA KITU HAPA...
Watu watabisha hili andiko ila inatakiwa akili ya ziada kuwa positive na andiko hili, kwa hakika ni aibu sana, mkoa hauna winches, kweli walikosea ha semi trailer mbili za kuivuta Ndege, seems kama kuna mtu wa lazima alipangwa afe.

Andiko lako ndio sahihi kitaalamu, waafrika utaambiwa heri nusu Shari kuliko Shari kamili.

Upande wa Kagera hakuna madivers !? Aibu sana
 
Wewe jamaa akili zako unazijua mwenyewe. Hebu msikilize huyu kijana akimtaja muuaji [emoji116]
Daaah, dogo unastahili sifa na hogera, ndani ya muda mfupi umefanya mambo makubwa sana ya kushujaa.
 
Back
Top Bottom