Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
We boya kwa mpasuko ule wa ndege unategemea maji hayakuingia ndani ila yaliingia kupitia mlango wa nyuma. Au kichwa chako kina umbwe kubwa ndani na kimebeba ubongo wa Panzi
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Kwahiyo kule chini palipopasuka maji hayakuingia au sio?
 
Sababu za kifo ni nyingi kuna wengine wamekufa kutokana na impact ya ndege katika maji ndio maana wale waokozi waliwakuta bado wamejifunga mikanda yao. All in all hakuna ataebaki duniani kila mtu ataonja umauti ni lini wapi saa ngapi hiyo ni siri yake muumba.
 
We utakuwa moja ya wavuvi wewe au ndugu yake wale wavuvi. Mlifanya kazi nzuri ila kubalini tu kwamba Majaliwa aliwazidi ujasiri
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Kama hukuwa mbali na tukio ulifanya Nini kusaidia uokoaji? Acha ujuaji wa kijinga..
 
Tatizo ni kwamba kwa sasa mtu akipiga kitu chake huko kitaa afu kwenye mzunguko kuna story zinakuwa zinaendelea then akirudi gheto stimu zishaapanda anaamua kuanzisha uzi kwa hisia.
Hili lishaapita sasa tugeukie huku kwa familia ya mama na baba mmoja wameanza kutoa siri zao za udokozi ndani ya nyumba mara sijui ilikuwa 10trln anashangaa imekuwa 15trln na akati wanajuanaa😈😈😨
 
Inawezekana huyu ni miongoni mwa wale waliokuwa wanazuia wavuvi wasifanye uwokoz
 
Sasa wew unasema uliiona ndege uka hukua hatua gani? Mle ndani wangepataxwapi hewa ya kuvuta?
Na ilivotua na pua kukita... Unadhan haiku Pata madhara ya kuingiza maji?
 
Elewa kiswahili mkuu yalianza na huyo kijana wa hovyo aliyefungua mlango yeye ndo alienda kuyatoa hayo maji yaloanza kuingia au
Kwa vyovyote vile umetengwa na ukoo wenu kwa ubishi usio na tija.

Na humu tunakutenga soon ukabishane na vibwengo
 
Yalikuwa yanaingia kiduchu Sana , lkn huyu kijana wa hovyo Majaliwa diyo aliyesababisha maji yakaingia kama yote na abiria kuawa.
Wwe ulikuwepo ndani ya hiyo ndege!? Mbona pia kuna taarifa kuwa mlango ulifunguliwa na wahudumu wa Ndege ambao nao pia wamenusurika na kifo!!?
 
Wahudumu walifungua mlango wa dharura. Mlango halisi ndiyo ulivunjwa na kijana wa hovyo (Majaliwa).
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Na ulikuwa unaona ni afadhali wangeangamia wote kuliko hata wengine waokolewe??? Fikiria jambo kbl ya kulaumu.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Anachosema mleta mada ni kwamba Kama huyu kijana wa hovyo asingevunja ooó kwa kasia lake watu wote wangepona. Kwasabb rubani alikuwa na mawasiliano na waongozaji.
 
Mnaroho mbayA SANA NDEGE ILIKUWA IMESHAANZA KUINGIA MAJI MNASUMBULIWA NA UJOBLESS BRO
 
Back
Top Bottom