mipango miji wapo kila wilaya lakini watu wanajenga kwenye mikondo ya maji kwanini? kura? rushwa? elimu yao ndogo? dharau? au?Usishonw koti 1 nchi nzima. Kila mahali pana upekee wake. Jinsi mlima Hanang ulivyoanza ni tofauti na meru nk. Jielimishe.
Sehemu ya Mji wa katesh upo kwenye mkondo wa maji haswa wale watu kwa kwanza. Ulipopanuka umeelekea srhemu za miinuko na mabonde. Miji mingi ipo hivyo.
unapotaka kujenga kiwanda cha mikate lazima ujue wangapi wanakula mikate kwenye eneo lako kwanza na nguvu yao ya manunuzi (purchasing power). Mchawi wetu mkuu wa ndani kaka ni uchaguzi na kura na mchawi wetu mkuu wa nje ni ukolonimamboleo (neocolonialism).Mkuu,
Kama hujui jinsi ya kutumia nguvukazi yako ya sasa, kuongeza watu ambao wataongeza utegemezi bila kuwa productive ni kuongeza tatizo.
Tunaweza kujua 10 si square root ya 2, hata kabla hatujajua square root ya 2 ni nini.
Tunaweza kujua jibu fulani si jibu sahihi hata kabla hatujajua jibu sahihi ni lipi.
Tunaweza kujua kwamba, jibu la kutaka kumaliza umasikini kwa kuongeza watu, bila ya kuwa na mipango sahihi ya kutumia nguvukazi zao, si jibu sahihi, hata kabla hatujajua jibu sahihi ni lipi.
Hoja ya kwamba suluhisho la umasikini wetu ni kuzaana zaidi ni sawa na hoja ya kwamba wewe jenga kiwanda cha mikate tu, hakikisha mnazaana sana ili kuwe na wateja.unapotaka kujenga kiwanda cha mikate lazima ujue wangapi wanakula mikate kwenye eneo lako kwanza na nguvu yao ya manunuzi (purchasing power). Mchawi wetu mkuu wa ndani kaka ni uchaguzi na kura na mchawi wetu mkuu wa nje ni ukolonimamboleo (neocolonialism).
Kim Jong Un anawalilia wanawake wazee, china imeondoa sheria ya kuzaa mtoto mmoja. Wewe hata hujui uhusiano wa uchumi na population. marekani inatafuta wahamiaji waende wakanunue hotdogs zao.Hoja ya kwamba suluhisho la umasikini wetu ni kuzaana zaidi ni sawa na hoja ya kwamba wewe jenga kiwanda cha mikate tu, hakikisha mnazaana sana ili kuwe na wateja.
Bila kujua hao wanaozaliwa watamudu kununua mkate ama la.
Mkuu,Kim Jong Un anawalilia wanawake wazee, china imeondoa sheria ya kuzaa mtoto mmoja. Wewe hata hujui uhusiano wa uchumi na population. marekani inatafuta wahamiaji waende wakanunue hotdogs zao.
View: https://www.youtube.com/watch?v=-nolzvHl-UU
Idadi kubwa ya watu ndio kila kitu; jeshi, watumishi, masoko. Hebu ondokeni huko milimani kwenye njia za maji ili tusife tuwe wengi tujenge uchumi wetu na kulipa kodi. Watu wengi kodi nyingi pia.Mkuu,
Of all people unamfanya Kim Jong Un kuwa ndiye mtu wa mfano?
Is this the best you can do?
Hata kama nchi yako jangwa huna cha kuwalisha wazae tu waje kufa na njaa?Idadi kubwa ya watu ndio kila kitu; jeshi, watumishi, masoko. Hebu ondokeni huko milimani tusife tuwe wengi
View: https://www.youtube.com/watch?v=OhVEzHv2RuU
Sitaki kukujibu "kishabiki (kwa Tanzania), wala Kishamba/kipumbavu", kwa sababu umeuliza maswali mengi yanayohitaji mjadala makini (ambao huwezi kuupata humu JF).Mwenye akili timamu ni yule anaejiuliza mwenyewe maswali kuhusu "ni kwanini tuko hivi na kwa nini tumebaki hivi tulivyo kiuchumi, kielimu, kiafya, kiuzazi,.......?". Ataendelea kujiuliza mwenyewe "Ni kwanini Afrika yote inafanana fanana kimaendeleo na mambo Yao mengine yote?" Ataendelea kujiuliza "ni kwanini hata nchi zilizobadilisha vyama vyao tawala kama vile Zambia, Malawi, Kenya, Liberia, DR Congo, Uganda, nk hata wao bado hali Yao kiuchumi Iko vilevile TU?"
Ukishapata majibu ya maswali hayo ndiyo uje na majibu ya mjadala kati ya uhusiano kati ya idadi ya watu na maendeleo.
Cheki hii: Sasa hivi lengo letu kubwa ni kwenda kuwatafuta nje watu wenye mihela ya kutosha waje wawekeze hapa, tusubiri wavune ili nasi tupate vibarua. Tukishashiba tu, tayari maendeleo yamepatikana!Upo sahihi sana, kuwa na population inategemea watu hao wanauwezo gani kujikwamua kiuchumi ili kusaidia uchumi wa nchi kuinuka! Kwa mfano hata population kubwa iliyopo serikali ingewekeza kwenye uzalishaji wa malighafi nyingi zinazoagizwa nje, zikazalishwa Tanzania zikawa processed hapa hapa kwa sababu ya population kuwa zikatumika hapa hapa, na zinazozidi tuka export nje ya nchi kwa wingi uchumi wa nchi ungekuwa sana.
Wataalamu waangalie namna ya kupata malighafi, viwanda vijengwe kwa ajili ya processing,, tutumie vitu vyetu tunavyozalisha wenyewe tu, na tu export kwa wingi kama uchumi wetu haujakuwa maradufu.
Hii dunia bwana! Wakati wengine wanalia wimbi la ongezeko kubwa, wengine kina 'Kim Jon Un" wanalia na kuwaomba wanawake wao waongeze bidii ya kuzaa! 😄Enzi za kuzaana zaana ovyo tu na kuishi kwa kujua nchi kubwa tu hii zinaisha
Watawala sehemu nyingi watataka kuongeza watu, watalilia watu wazae.Hii dunia bwana! Wakati wengine wanalia wimbi la ongezeko kubwa, wengine kina 'Kim Jon Un" wanalia na kuwaomba wanawake wao waongeze bidii ya kuzaa! 😄
Mkuu 'kavulata', mchango wako huu unazidi kuninyima utulivu wa mawazo. Nimekwisha andika juu yake na kuondoka; lakini bado akili imebaki tu kwenye haya uliyo andika hapa.Mwenye akili timamu ni yule anaejiuliza mwenyewe maswali kuhusu "ni kwanini tuko hivi na kwa nini tumebaki hivi tulivyo kiuchumi, kielimu, kiafya, kiuzazi,.......?". Ataendelea kujiuliza mwenyewe "Ni kwanini Afrika yote inafanana fanana kimaendeleo na mambo Yao mengine yote?" Ataendelea kujiuliza "ni kwanini hata nchi zilizobadilisha vyama vyao tawala kama vile Zambia, Malawi, Kenya, Liberia, DR Congo, Uganda, nk hata wao bado hali Yao kiuchumi Iko vilevile TU?"
Ukishapata majibu ya maswali hayo ndiyo uje na majibu ya mjadala kati ya uhusiano kati ya idadi ya watu na maendeleo.
Pia kwa kasi yetu ya kuzaana, wakati nchi haiongezeki, huko mbele watu watazidi kubanana tu.
Hivyo tunahitaji kupangilia vizuri sana both land use na family planning.
Enzi za kuzaana zaana ovyo tu na kuishi kwa kujua nchi kubwa tu hii zinaisha.
Hii hoja imedadavuliwa zaidi kwenye uzi huu, endelea kufuatilia majibizano kama una point za nyongeza za kimantiki zilete.Nchi bado kubwa watu wazaane tuu
Hii hoja imedadavuliwa zaidi kwenye uzi huu, endelea kufuatilia majibizano kama una point za nyongeza za kimantiki zilete.
Tumedadavua dhana nzima ya "nchi kubwa" ilivyo pana kuzidi ukubwa wa eneo tu.
Una teknolojia gani kulima? Unalima nini?Kuna sehemu nyingi za wazi hii nchi kuna mahali nimenunua hekari 100 kwa laki moja moja nafanya kilimo na bado maeneo yapo ya wazi
Nchi bado inatudai tuendelee kuzaa
Watanzania na pengine waafrika tutakosea hwasa kama tutakuwa tunapambana na immediate causes of our economic problems na kuacha kupambana na underlying na basic causes za shida zetu. Basic causes ya shida zetu ni kukosekana kwa usawa katika upatikanaji wa technology, bei, mitaji na masoko ya bidhaa zetu. Kiongozi yeyote wa siasa anaetaka kufanya kitu Cha tofauti na kiongozi au Chama kingine lazima atoe majibu ya namna ya kuyatambuka matatizo ya upatikanaji wa technology, bei za haki kwa bidhaa zetu, masoko huru na mitaji. Vinginevyo ni uongo TU wajemeni kusema nichagueni mimi muone nchi ya asali na maziwa.Sitaki kukujibu "kishabiki (kwa Tanzania), wala Kishamba/kipumbavu", kwa sababu umeuliza maswali mengi yanayohitaji mjadala makini (ambao huwezi kuupata humu JF).
Kwa nini nchi za Kiafrika, zinafananafanana, hata zile zilizobadili serikali; kama hiyo mifano uliyoiweka hapo juu!
Sijui kama hii ndiyo sababu unayotaka sote tuitumie kwa hapa Tanzania ili tuendelee na CCM, kwa vile kubadili vyama hakuna manufaa? (Naweka hiyo alama, sijui kama hiyo ndiyo unayolenga kwa andiko lako hili).
Sitaeleza nionavyo mimi, kuhusu hayo maswali uliyo uliza hapo. Lakini sikubaliani na hiyo dhana unayoilenga kuhusu kubadisha tawala na maendeleo ya nchi Tatizo siyo kubadili serikali/tawala na vyama; tatizo ni vyama kama hiyo CCM ilivyo sasa na kuendelea kubadilika ikitoka kwenye misingi yake na kuporomoka katika malengo yake.
Ni sentensi nzuri, lakini kiuhalisia, utaachaje kuhangaika na matatizo yaliyopo sasa kiuchumi?Watanzania na pengine waafrika tutakosea hwasa kama tutakuwa tunapambana na immediate causes of our economic problems na kuacha kupambana na underlying na basic causes za shida zetu.
Nitakubaliana na wewe katika hili kama maana yako ni kuhusu kiongozi mwenye dira na maono kuhusu nchi anayoiongoza. Asiwe kiongozi wa maneno matupu na huku akifanya kila kitu kuhujumu hayo anayodai kuyataka kwa nchi yake.Kiongozi yeyote wa siasa anaetaka kufanya kitu Cha tofauti na kiongozi au Chama kingine lazima atoe majibu ya namna ya kuyatambuka matatizo ya upatikanaji wa technology, bei za haki kwa bidhaa zetu, masoko huru na mitaj