Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kati ya waarabu masikini basi ni yemen labda wewe ndo hujuiEti yemen jangwa tupu huijui yemen kijana nenda Kaisome
Hakuna sehem nimesema yemen matajirikati ya waarabu masikini basi ni yemen labda wewe ndo hujui
Halafu jeep hizo huwa ni makamanda wa vikosi.Zamani tuliaminishwa kuwa jeshi la israel ni hatari nakumbuka Waziri Mkuu wa Israel, Waziri wa Ulinzi kabla vita yale maneno yao unaweza kukimbia.
Walisema wanaenda kufuta Hamas na itakuwa mfano kundi lolote aliwezi kuisongelea Israel lakini tumeona kinyume chake….
Israeli military vehicle in Gaza…
Hiyo Jeep hajatoka mtu daaah
View attachment 2851485
achana na stori za vijiweni hizo hayo mafuta siku zote yalikua wapi? na kwa taarifa yako ni kwamba huko mbeleni mwarabu hawezi tena kutajirika kwa mafuta zama za utajiri wa mafuta zinaelekea ukingoni sababu technolojia inahama, na wenyewe waarabu wanalijua hilo ndio mana wanafanya uwekezaji katika sehem zingine kama utalii, michezo, real estate na biashara zingine, nenda kawaangalie Dubai Saudia na Qatar hao ndio waarabu wenye pesa bana, hao yemen ni makapuku tu njaa kaliHakuna sehem nimesema yemen matajiri
Ila nimepingana nawewe hapo uliposema yemen wananini
Nikujuze tu mwakani January kuna mkataba unaenda kusainiwa kati ya saudia na yemen huu mkataba kama utasainiwa utaipa yemen uwezo wakuuza mafuta yake nje ya nchi kama sijakosea yatakua yanapitia saudia
Hapa nilitaka tu upate picha kama yemen wana mafuta nk nk
Kama makubaliano hayo yatafikiwa baina ya yemen na saudia baada ya miaka miwili yemen haitakua hio maskini kama usemavyo ama tuionayo sasa
Angalizo mkataba huu nibaina ya sirikali ya saudia nawaasi wa houthi
Wanakumbi.
VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸
Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine.
Wiki kadhaa zimepita tangu kurejea kwa mapigano mapya pale Gaza mara baada ya makubaliano ya kusitisha kwa muda mapigano hayo kumalizika.
Tangu kurejea kwa mapigano mapya,
Ni takribani wiki kadhaa Jeshi la Israeli halijafanikiwa malengo yake Gaza pamoja na kubana vyombo vya habari kuifahamisha dunia wameishia kuwauwa waandishi hawa habari hapa Gaza kama wanavyouwa watoto na raia wasiokuwa na hatia yetote.
Kinyume na matarajio yao, awamu hii wamepata madhara makubwa kuliko kawaida ndiyi maana hadi Uongozi wa Jeshi lao umetangaza vifo pamoja na majeruhi wengi waliopatikana hivi karibuni uwa ni ngumu kutangaza mpaka wameamua kutangaza hesabu za kisiasa basi hali ni tete Gaza.
Taarifa hizi wala siyo propaganda, hatuandiki kuwafurahisha watu bali tunaleta uhalisia uliopo ambao ni ngumu kuupata mbele ya media zinazotawala dunia kama CNN, BBC, FOX NEWS na media zingine za magharibi.
Kwa nini Jeshi la Israeli linapata sana madhara kwenye operesheni ya nchi kavu pale Gaza?
Hamas wametawala na kutawanyika kila kona ya Gaza, kwa lugha rahisi unaweza kusema rada zao zinawachora tu wanajeshi wa taifa teule.
Kila hatua ambayo wanajeshi wa Israeli wanadiriki kuipiga kwa kuingia Gaza, ni kama vile wanakuwa wameingia kwenye tanuri la moto.
Kubwa zaidi ni mbinu hatari inayotumiwa na Hamas katika kupambana na wanajeshi wa Israeli.
Jamaa wameweka Wadunguaji (Snipers) kwenye maeneo mbalimbali ya Gaza, kila hatua moja ambayo wanajeshi wa Israeli wanaipiga, wanapoteza wanajeshi wengi sana na wengi wamebaki vilema vya maisha.
Ndiyo maana hivi karibuni idadi ya vifo vyao imeongezeka kuliko kawaida.
Ogopa sana kwenda kufanya vurugu kwenye uwanja wa nyumbani wa adui yako, wenzako wanayajua machaka ambayo wakijificha wewe huwezi kuyajua, ndicho kinachowakuta wanajeshi wa Israeli kwa sasa.
Wadunguaji wa Hamas wamejificha na Mashine zao, jamaa wakitoka tu kwenye vifaru vyao, wanachapwa za vichwa kisha Hamas wanapotea kama mizimu.
Huo ndo uhalisia uliopo pale Gaza, nadhani sasa utakuwa umepata picha kamili.
Wanachofanya sasa hivi ni hasira kufanya mashambulizi holela hawajui malengo ya vita ni yapi.
Hii leo ….
View: https://x.com/warintel4u/status/1738853337477300353?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Halafu jeep hizo huwa ni makamanda wa vikosi.
Shida hamuupendi ukweli vijana sijui mnakwamia wapiachana na stori za vijiweni hizo hayo mafuta siku zote yalikua wapi? na kwa taarifa yako ni kwamba huko mbeleni mwarabu hawezi tena kutajirika kwa mafuta zama za utajiri wa mafuta zinaelekea ukingoni sababu technolojia inahama, na wenyewe waarabu wanalijua hilo ndio mana wanafanya uwekezaji katika sehem zingine kama utalii, michezo, real estate na biashara zingine, nenda kawaangalie Dubai Saudia na Qatar hao ndio waarabu wenye pesa bana, hao yemen ni makapuku tu njaa kali
Wapalestina waliopo Gaza wanajua maumivu wanayopitia. Sisi wa Tandahimba huku tuendelee kushabikiaVita ya siku hizi imebadilika sana..siyo ile ya kizamani can you imagine Mmarekani na coallition yake wameogopa kuivamia Yemen. Vita ya siku hizi unapiga na mtu usiyemjua..watu wanakusakizia week oponent ukiingia kichwa kichwa kumbe kuna watu wenye nguvu nyuma yake. Jeshi la Israel lipo overated ni jeshi ambalo linaweza kupambana na mtu alitefungwa kamba mikono yote na siyo mtu anayeweza rudisha mapigo, same to marekani na wenzake.
acha kuongea porojo, huyo rais aliyekua wa hovyo ametawala miaka mingapi? mafuta kazi yake kuu ni chanzo cha nishati, teknojia inakuja kaa kasi sana sasa hivi zinakuja nishati mbadala zenye gharama nafuu, mafuta hata kama hayataacha kutumika lakini pesa yake itapungua, nikuulize swali mfano miaka 30 - 50 ijayo magari ya umeme ndo yatakua yamejaa dunia nzima, je hizi petrol station ambazo sasa zipo kila sehem zitakuepo tena? je zisipokuwepo ni kwa kiasi gani matumizi ya petrol yatakua yamepungua?Shida hamuupendi ukweli vijana sijui mnakwamia wapi
Rahisi wao alikua wahovyo sasa watu wa maana wameingia wanataka kutumia rasilimali zao kimaana maana
Mafuta hayatakaa yaache kutumika kijana mpaka mwisho wa duni sababu kupitia mafuta kuna products zaidi ya moja