Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

acha kuongea porojo, huyo rais aliyekua wa hovyo ametawala miaka mingapi? mafuta kazi yake kuu ni chanzo cha nishati, teknojia inakuja kaa kasi sana sasa hivi zinakuja nishati mbadala zenye gharama nafuu, mafuta hata kama hayataacha kutumika lakini pesa yake itapungua, nikuulize swali mfano miaka 30 - 50 ijayo magari ya umeme ndo yatakua yamejaa dunia nzima, je hizi petrol station ambazo sasa zipo kila sehem zitakuepo tena? je zisipokuwepo ni kwa kiasi gani matumizi ya petrol yatakua yamepungua?
Sasa mbona mafuta yanapanda bei badala ya kushuka?
 
Kuhusu huyo rahisi aliotawala pale nenda ka google
Nahapo kwa mafuta hata kama petrol station zote duniani zifungwe mafuta yataendelea kutumika mpaka kiama
Unadhani mafuta yanatumika kwenye magari tuuu
 
Attachments

  • Screenshot_20231224_173615_Chrome.jpg
    Screenshot_20231224_173615_Chrome.jpg
    59.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231224_173649_Chrome.jpg
    Screenshot_20231224_173649_Chrome.jpg
    86.6 KB · Views: 1
Kuhusu huyo rahisi aliotawala pale nenda ka google
Nahapo kwa mafuta hata kama petrol station zote duniani zifungwe mafuta yataendelea kutumika mpaka kiama
Unadhani mafuta yanatumika kwenye magari tuuu
unaonesha una kichwa kigumu hakuna aliyesema mafuta yataacha kutumika nimesema matumizi ya mafuta yatapungua
 
Kupungua kwa mafuta kupo kila leo mzeee
Nandio maana ni kakwambia yemen itapiga hela
Sababu awali yemen walikua wapo kama koloni la saudia kwasada watakua huru
Nandio maana juu huko nikakwambia kuna mkataba utasainiwa januaru ukienda vyema yemen itapiga hela sana
Sababu mafuta hayataachwa leo wala kesho mpaka wakija kuacha yemen itakua ishafika mbali sana
 
acha porojo kama yemen wangekua matajiri wangeshakua kitambo hizo unazoleta wewe ni hadith za kusadikika
 
Vita ya siku hizi imebadilika sana..siyo ile ya kizamani can you imagine Mmarekani na coallition yake wameogopa kuivamia Yemen. Vita ya siku hizi unapiga na mtu usiyemjua..watu wanakusakizia week oponent ukiingia kichwa kichwa kumbe kuna watu wenye nguvu nyuma yake. Jeshi la Israel lipo overated ni jeshi ambalo linaweza kupambana na mtu alitefungwa kamba mikono yote na siyo mtu anayeweza rudisha mapigo, same to marekani na wenzake.
Kiboko yao mu Iran.
 
Back
Top Bottom