Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

kati ya waarabu masikini basi ni yemen labda wewe ndo hujui
Hakuna sehem nimesema yemen matajiri
Ila nimepingana nawewe hapo uliposema yemen wananini
Nikujuze tu mwakani January kuna mkataba unaenda kusainiwa kati ya saudia na yemen huu mkataba kama utasainiwa utaipa yemen uwezo wakuuza mafuta yake nje ya nchi kama sijakosea yatakua yanapitia saudia
Hapa nilitaka tu upate picha kama yemen wana mafuta nk nk
Kama makubaliano hayo yatafikiwa baina ya yemen na saudia baada ya miaka miwili yemen haitakua hio maskini kama usemavyo ama tuionayo sasa
Angalizo mkataba huu nibaina ya sirikali ya saudia nawaasi wa houthi
 
Halafu jeep hizo huwa ni makamanda wa vikosi.
 
achana na stori za vijiweni hizo hayo mafuta siku zote yalikua wapi? na kwa taarifa yako ni kwamba huko mbeleni mwarabu hawezi tena kutajirika kwa mafuta zama za utajiri wa mafuta zinaelekea ukingoni sababu technolojia inahama, na wenyewe waarabu wanalijua hilo ndio mana wanafanya uwekezaji katika sehem zingine kama utalii, michezo, real estate na biashara zingine, nenda kawaangalie Dubai Saudia na Qatar hao ndio waarabu wenye pesa bana, hao yemen ni makapuku tu njaa kali
 
Hao Wapalestina hawafi?
 
Shida hamuupendi ukweli vijana sijui mnakwamia wapi
Rahisi wao alikua wahovyo sasa watu wa maana wameingia wanataka kutumia rasilimali zao kimaana maana
Mafuta hayatakaa yaache kutumika kijana mpaka mwisho wa duni sababu kupitia mafuta kuna products zaidi ya moja
 
Wapalestina waliopo Gaza wanajua maumivu wanayopitia. Sisi wa Tandahimba huku tuendelee kushabikia
 
acha kuongea porojo, huyo rais aliyekua wa hovyo ametawala miaka mingapi? mafuta kazi yake kuu ni chanzo cha nishati, teknojia inakuja kaa kasi sana sasa hivi zinakuja nishati mbadala zenye gharama nafuu, mafuta hata kama hayataacha kutumika lakini pesa yake itapungua, nikuulize swali mfano miaka 30 - 50 ijayo magari ya umeme ndo yatakua yamejaa dunia nzima, je hizi petrol station ambazo sasa zipo kila sehem zitakuepo tena? je zisipokuwepo ni kwa kiasi gani matumizi ya petrol yatakua yamepungua?
 
Wapalestina waliopo Gaza wanajua maumivu wanayopitia. Sisi wa Tandahimba huku tuendelee kushabikia
Hata wewe Muisrael mweusi wa Makete hujui misiba ya Wanajeshi wa Isarel wewe endelea kwa shabiki mandazi tu.
 

Attachments

  • IMG_8512.jpeg
    45.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…