Hapana nandaa taratibu za kuwasilisha rambi rambi zangu kwa kufiwa na huyu mke mwenzio punda
View: https://twitter.com/A_J_Alterkait/status/1740744754344923400?t=dXbTM1btI5H6KTRaHAVo4A&s=19
Sasa mbona mafuta yanapanda bei badala ya kushuka?acha kuongea porojo, huyo rais aliyekua wa hovyo ametawala miaka mingapi? mafuta kazi yake kuu ni chanzo cha nishati, teknojia inakuja kaa kasi sana sasa hivi zinakuja nishati mbadala zenye gharama nafuu, mafuta hata kama hayataacha kutumika lakini pesa yake itapungua, nikuulize swali mfano miaka 30 - 50 ijayo magari ya umeme ndo yatakua yamejaa dunia nzima, je hizi petrol station ambazo sasa zipo kila sehem zitakuepo tena? je zisipokuwepo ni kwa kiasi gani matumizi ya petrol yatakua yamepungua?
Kuhusu huyo rahisi aliotawala pale nenda ka googleacha kuongea porojo, huyo rais aliyekua wa hovyo ametawala miaka mingapi? mafuta kazi yake kuu ni chanzo cha nishati, teknojia inakuja kaa kasi sana sasa hivi zinakuja nishati mbadala zenye gharama nafuu, mafuta hata kama hayataacha kutumika lakini pesa yake itapungua, nikuulize swali mfano miaka 30 - 50 ijayo magari ya umeme ndo yatakua yamejaa dunia nzima, je hizi petrol station ambazo sasa zipo kila sehem zitakuepo tena? je zisipokuwepo ni kwa kiasi gani matumizi ya petrol yatakua yamepungua?
Kwani hao mbwa na punda si wake za magaidi
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1740817786786791667?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
💔🇵🇸 Hata mbwa wa Kipalestina hawako salama na UGAIDI WA ISRAEL.
unaonesha una kichwa kigumu hakuna aliyesema mafuta yataacha kutumika nimesema matumizi ya mafuta yatapunguaKuhusu huyo rahisi aliotawala pale nenda ka google
Nahapo kwa mafuta hata kama petrol station zote duniani zifungwe mafuta yataendelea kutumika mpaka kiama
Unadhani mafuta yanatumika kwenye magari tuuu
TrashVita ndiyo vimeanza na Marekani kakimbia Red Sea huko😂
View: https://x.com/amal12341990/status/1740846295659512295?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Milipuko na moto mkubwa katika kiwanda maarufu cha tanki cha Israeli
Kupungua kwa mafuta kupo kila leo mzeeeunaonesha una kichwa kigumu hakuna aliyesema mafuta yataacha kutumika nimesema matumizi ya mafuta yatapungua
acha porojo kama yemen wangekua matajiri wangeshakua kitambo hizo unazoleta wewe ni hadith za kusadikikaKupungua kwa mafuta kupo kila leo mzeee
Nandio maana ni kakwambia yemen itapiga hela
Sababu awali yemen walikua wapo kama koloni la saudia kwasada watakua huru
Nandio maana juu huko nikakwambia kuna mkataba utasainiwa januaru ukienda vyema yemen itapiga hela sana
Sababu mafuta hayataachwa leo wala kesho mpaka wakija kuacha yemen itakua ishafika mbali sana
Kuuchukia ukweli hakuufanyi uongo ukawa ukweliacha porojo kama yemen wangekua matajiri wangeshakua kitambo hizo unazoleta wewe ni hadith za kusadikika
Ukanda wa ghaza???gari la jeshi la Israel likilengwa na kilipuzi katika kambi ya Al-Faraa, kusini mwa Tubas.
View: https://x.com/sprinter99800/status/1740755801059520983?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kiboko yao mu Iran.Vita ya siku hizi imebadilika sana..siyo ile ya kizamani can you imagine Mmarekani na coallition yake wameogopa kuivamia Yemen. Vita ya siku hizi unapiga na mtu usiyemjua..watu wanakusakizia week oponent ukiingia kichwa kichwa kumbe kuna watu wenye nguvu nyuma yake. Jeshi la Israel lipo overated ni jeshi ambalo linaweza kupambana na mtu alitefungwa kamba mikono yote na siyo mtu anayeweza rudisha mapigo, same to marekani na wenzake.