Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

UNASEMA WANAKUFA WENGI ILA HUTAJI IDADI ,,,VITA VIPIGWE MPAKA ATAKAE KOSA CHAKULA NDO ATAONDOKA UWANJA WA VITA make kila mtu ana nguvu saizi wote chakula kipo
 
UNASEMA WANAKUFA WENGI ILA HUTAJI IDADI ,,,VITA VIPIGWE MPAKA ATAKAE KOSA CHAKULA NDO ATAONDOKA UWANJA WA VITA make kila mtu ana nguvu saizi wote chakula kipo
Hueleweki unataka kusema nini
 
⚡️ Hebrew Channel 13, about a settler in Doviv on the border with #Lebanon:

We must realize that Hezbollah is not the Hezbollah that it was 20 years ago. #Hezbollah today is the most advanced party with more lethal weapons.
 
Hata wewe Muisrael mweusi wa Makete hujui misiba ya Wanajeshi wa Isarel wewe endelea kwa shabiki mandazi tu.
Wanajeshi wanakufa vitani, vipi kuhusu maelfu ya raia wasio na hatia?
 
Kuuchukia ukweli hakuufanyi uongo ukawa ukweli
hizo unazoleta ni porojo usilete maelezo ya kwenye madaftari leta maelezo ambayo ni real life ya sasa sio eti fulani mwakani ndo ataanza kua tajiri kama utajiri ndo uko hivo basi sisi bara la africa hakuna aliyetuzidi kwa utajiri mana hakuna bara ambalo lina rasilimali kama africa
 
Hujui nin kinaendelea hadi uulize chanzo cha vifo?
 
🛑Al-Qassam (Hamas) alitangaza katika dakika 30 zilizopita:

🔻Ilipambana na Kikosi Maalum cha IOF kikipenya kitongoji cha Sheikh Radwan, na kuua na kuwajeruhi zaidi ya wanajeshi 20.

🔻Alilenga tanki la Merkava lenye kilipuzi cha Shawaz

🔻Iliponda vikundi 2 vya magari na askari huko Khan Yunis, kwa chokaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…